Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wahamishiwa shule nyingine

Wanafunzi 752 waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Magole ambayo nayo ilikumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita, wamehamishiwa katika madarasa ya akiba ya Shule ya Sekondari Magole na kutakiwa kusoma kwa awamu mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nicki Minaj aalikwa kuzungumza na wanafunzi wa shule nyingine baada ya kukataliwa na ile aliyosoma

Nicki Minaj amealikwa kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule ya jijini New York baada ya ombi lake la kutembelea shule aliyosomea kukataliwa wiki iliyopita. Hivi karibuni rapper huyo alizungumza na uongozi wa shule ya Fiorello H. LaGuardia High School na kuuomba aitembelee kama na kuzungumza na wanafunzi lakini uongozi ulimtosa. Kwenye ujumbe wa Twitter, Nicki […]

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

GPL

JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI

Darasa la muziki katika taasisi ya shule ya muziki Reutlingen,Ujerumani . Jhikoman akiwafundisha wanafunzi kutumia gitaa katika shule ya muziki Reutlingen.…

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waharibu shule

WANAFUNZI wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambatana na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari, mabweni, madarasa na kompyuta, chanzo kikidaiwa kuwa ni hatua ya uongozi wa shule kuwapa walinzi mamlaka makubwa ya kuwaadhibu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 56 ya wanafunzi hawajaripoti shule

ASILIMIA 56 ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wilayani Nkasi hawajaripoti shuleni kutokana na sababu mbalimbali, ukiwamo mwamko mdogo wa elimu kwa wazazi. Wanafunzi hao hawaonekani...

 

10 years ago

GPL

MADHARA YA WANAFUNZI KUTOKUPENDA SHULE

Wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kutokupenda shule. Wengi wao ukiwaliza kwa nini hutoroka masomo na kwenda kwenye makundi yasiyofaa hawajui msingi wake; pengine watakujibu kwa Kiswahili cha kisasa: “Shuleni kunaboa.” Yaani hakufurahishi. Lakini ukweli ni kwamba mwanafuzni yo yote ambaye hapendi shule moja kwa moja anakuwa amejiingiza kwenye kundi la watu ambao hawawezi kufaulu mitihani na hivyo kujikuta akiwa mtu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 1,700 wakacha shule

WANAFUNZI 1,725 waliotakiwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza wilayani Kilolo, wameshindwa kuripoti kutokana na sababu mbalimbali. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilichofanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani