Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHABARI WA MATAIFA MBALIMBALI WATEMBELEA KITUO CHA VIUNGO BANDIA VYA BINADAMU INDIA

Na Hassan Hamad - India. Kiasi cha wagonjwa 65,000 wenye ulemavu wa aina tofauti wanapatiwa visaidizi pamoja na matibabu kila mwaka nchini India, hatua ambayo huwawezesha kuendelea na shughuli zao za kimaisha kama kawaida. Meneja wa kituo kikuu cha viungo bandia vya binadamu katika mji wa Jaipur jimbo la Rajasthan kaskazini mwa India, Om Prakash Sharma ameeleza hayo mbele ya waandishi wa habari kutoka baadhi ya nchi za Afrika, Asia na Latin America waliofika kituoni hapo hivi karibuni kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIWANDA CHA VIUNGO vya chakula cha EVEREST SPICE Industries Ltd,India

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi  ikiwa katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai  India akiwa katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India John W.H.Kijazi.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

 

11 years ago

GPL

VIUNGO VYA BINADAMU...

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
SAKATA  la kutupwa kwa viungo vya binadamu  lililofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba cha Kimataifa cha IMTU kilichopo Mbezi jijini Dar,  linadaiwa kuikumba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya tanuru linalotumika kuteketeza viungo vya binadamu kuharibika kwa miezi sita sasa. Fuvu la kichwa cha binadamu. Uchunguzi uliofanywa na timu ya Uwazi kwa muda wa siku kadhaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Viungo vya binadamu vyakutwa,Tanzania

Viungo mbali mbali vya binadamu vimekutwa katika eneo la kutupa taka la Bunju mjini Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Biashara ya viungo vya binadamu Brazil

Viongozi wa mashitaka wanachunguza madai kuwa viungo vya miili vinatolewa kwa miili ya watu wasiojulikana na kuuzwa kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.

 

11 years ago

Mtanzania

Kamati yaundwa kuchunguza viungo vya binadamu

mabaki ya miili ya watu

Wananchi wakiangalia mifuko yenye viungo mbalimbali vya binadamu vilivyokutwa katika Bonde la Mweni Mpiji wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Picha ndogo kushoto ni polisi wakipakia viungo hivyo. Picha zote na Deus Mhagale

Adam Malinda na Grace Shitundu, Dar es Salaam

SERIKALI imeunda kamati ya watu 15 kuchunguza chanzo cha tukio lililofanywa na Chuo cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) la kutupwa mabaki ya viungo vya miili ya binadamu katika bonde la Mto Mpiji, lililopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri zazidi kuvuja viungo vya binadamu

SIKU moja baada ya serikali kufunga Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), kwa madai ya kuendeshwa kwa kukiuka taratibu za tiba, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa hatua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madaktari wanaswa tukio la viungo vya binadamu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu nane wakiwemo madaktari wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wakihusishwa na tukio la kupatikana kwa...

 

11 years ago

GPL

VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR

JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani