Wanajeshi 9 wa Umoja wa Mataifa wauawa
Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Mali unasema kuwa wanajeshi tisa wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa nchini Mali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Wanajeshi 2 wa Uturuki wauawa
Wanajeshi wawili wa Uturuki wameuawa kwenye shambulizi la bomu katika kituo kimoja cha kijeshi mashariki mwa nchi.
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Wanajeshi 50 wa AU wauawa Somalia
Wanajeshi 50 wa Muungano wa Afrika kutoka Uganda wameuawa kwenye shambulio lililofanywa na wapiganaji wa Al shabaab nchini Somalia
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wanajeshi wauawa Marekani
Mtu mwenye silaha amewaua askari 4 wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo ya jeshi hilo.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wauawa Afghanistan
Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.
10 years ago
BBCSwahili25 May
Wanajeshi 7 wauawa Tunisia
Mwanajeshi mmoja nchini Tunisia amempigwa risasi na kuuawa baada ya kuwaua wenzake 7 .
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan
Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Wanajeshi 8 wa Uturuki wauawa
Wanajeshi wanane wa Uturuki wameuawa kwenye shambulizi la bomu la kutegwa kando ya barabara kusini mashariki mwa nchi.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa
Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Wanajeshi 14 wauawa na kundi la Al-Qaeda
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Al Qaeda nchini Yemen wamewateka na kuwaua takriban wanajeshi 14 wa serikali
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania