WANAJESHI WA UFARANSA WATUHUMIWA KUWANAJISI WATOTO
![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLacpl-afdZLkG6erEOKLhtyNvinrIkTM8iHhS*ryiFJlCNOc6pgsnMH0XvDdYqV6YwPPd3N9JmrXDp*twHLr0Ya1/140924113651_france_military_man_624x351_afp.jpg)
Mmoja wa wanajeshi wa Ufaransa. Serikali ya Ufaransa imetangaza kuanzisha uchunguzi kufwatia tuhuma zinazowakabili wanajeshi wake wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya kati kutekeleza vitendo vya unyanyasaji wa kimapenzi dhidi ya watoto. Nakala ya Ripoti inayobaini vitendo hivyo imewakilishwa kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza na shirika lisilo la kiserikali “Aids Free World†ambapo wizara ya sheria ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Wanajeshi 2 wa Ufaransa wauawa CAR
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Watoto wasajiliwa kuwa wanajeshi Sudan K
10 years ago
BBCSwahili22 Mar
Wanajeshi watoto waachiliwa Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili29 Oct
Watoto wasajiliwa wanajeshi Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Askari wa Ufaransa wanajisi watoto CAR