Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wasajiliwa kuwa wanajeshi Sudan K

Kiasi cha watoto wapatao 11,000 wamesajiliwa kupigana katika makundi yaliojihami nchini Sudan kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wasajiliwa wanajeshi Sudan Kusini

Ripoti zinasema kuwa takriban watoto elfu kumi na moja wamesajiliwa jeshini nchini Sudan Kusini

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watoto waachiliwa Sudan Kusini

Waasi nchini Sudan Kusini wamewaachilia huru wanajeshi watoto wapatao 250 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari watoto wasajiliwa Islamic State

Askari watoto wamebainika kusajiliwa na wapiganaji wa Islamic State na kutumika katika uwanja wa mapigano.

 

11 years ago

GPL

WANAJESHI 66 WAUAWA SUDAN KUSINI

Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili. Watafanyiwa mazishi ya pamoja.Wakati huohuo afisaa mmoja wa serikali amesema kuwa watu 26 wameuawa katika mapigano ya siku mbili mjini Juba.Zaidi ya watu miamoja wamejeruhiwa huku maafisa wakuu wakijaribu kudhibiti mji huo kufuatia kile ambacho...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 66 wameuawa Sudan Kusini

Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kwa Wanajeshi, Azam Sudan

Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi waasi jeshi Sudan Kusini

Kinara wa serikali Tulklio Odongi aliambia bunge siku ya Jumatatu kuwa hadi 70% ya wanajeshi wa serikali wanageuka na kuwa watiifu kwa Riek Machar pamoja na kuasi jeshi.

 

10 years ago

GPL

WANAJESHI WA UFARANSA WATUHUMIWA KUWANAJISI WATOTO

Mmoja wa wanajeshi wa Ufaransa. Serikali ya Ufaransa imetangaza kuanzisha uchunguzi kufwatia tuhuma zinazowakabili wanajeshi wake wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya kati kutekeleza vitendo vya unyanyasaji wa kimapenzi dhidi ya watoto. Nakala ya Ripoti inayobaini vitendo hivyo imewakilishwa kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza na shirika lisilo la kiserikali “Aids Free World” ambapo wizara ya sheria ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji 30 wasajiliwa Ligi Kuu

Wakati dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu na zile za Ligi Daraja la Kwanza nchini likitarajiwa kufungwa jana saa 6 usiku, nyota 30 wamesajili kuchezea timu mbalimbali za Ligi Kuu hadi wakati gazeti hili linakwenda mtamboni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani