Wachezaji 30 wasajiliwa Ligi Kuu
Wakati dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu na zile za Ligi Daraja la Kwanza nchini likitarajiwa kufungwa jana saa 6 usiku, nyota 30 wamesajili kuchezea timu mbalimbali za Ligi Kuu hadi wakati gazeti hili linakwenda mtamboni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]
The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...
9 years ago
Habarileo29 Aug
Klabu Ligi Kuu zabanwa mikataba ya wachezaji
KLABU za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zinatakiwa kuwasilisha mikataba ya wachezaji wake kwa ajili ya kuidhinishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Wachezaji nyota waliosajiliwa, kuachwa msimu huu Ligi Kuu
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Wachezaji 10 wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli Ligi Kuu Uingereza msimu huu …
Kwa sasa Mesut Ozil hadi anaondoka ndani ya klabu ya Real Madrid ya Hispania na kujiunga na Arsenal ya Uingereza ndio alikuwa mchezaji anayeongoza kumpa pasi za mwisho Cristiano Ronaldo na kufunga magoli. Achana na rekodi ya sasa ya Mesut Ozil ya kuwa mchezaji anayeongoza kutoa pasi nyingi za magoli kwa muda mchache. Nimekutana na […]
The post Wachezaji 10 wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli Ligi Kuu Uingereza msimu huu … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo25 Dec
TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? ….
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kamati ya haki na hadhi za wachezaji December 23 ilikaa na kupitia mapingamizi yalikuwa yamewasilishwa kuhusu suala la usajili, mara tu dirisha dogo la usajili lilipofungwa December 15 mwaka huu. Kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wake Richard Sinamtwa imekaa December 23 na kupitia usajili wa vilabu mbalimbali […]
The post TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? …. appeared first on...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...