Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? ….

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kamati ya haki na hadhi za wachezaji December 23 ilikaa na kupitia mapingamizi yalikuwa yamewasilishwa kuhusu suala la usajili, mara tu dirisha dogo la usajili lilipofungwa December 15 mwaka huu. Kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wake Richard Sinamtwa imekaa December 23 na kupitia usajili wa vilabu mbalimbali […]

The post TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? …. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: MSHAMBULIAJI DANNY MRWANDA AMWAGA WINO YANGA USIKU HUU

Mshambuliaji Danny Mrwanda amemwaga wino wa kuitumikia klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam kwa mkataba wa mwaka mmoja usiku huu.
Yanga imewafanyia umafia watani zao wa jadi Simba,ambayo ilionyesha nia kubwa ya kumuhitaji Mrwanda ikiwa ni kwa hudi na uvumba na tayariilishatangaza nia yake hiyo ya kutaka kumsajili.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Mrwanda kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro...

 

10 years ago

Habarileo

Kijichi kucheza Ligi Kuu Zanzibar

TIMU ya soka ya Kijichi imekuwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja, ambazo msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kushinda 2-1 dhidi ya timu ya Idumu.

 

9 years ago

Mwananchi

Harakati za Zimamoto FC kucheza Ligi Kuu

Licha ya kuwa ni timu ngeni katika soka la Tanzania, moja ya harakati ya timu hii ya soka ya Zimamoto ni kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji 30 wasajiliwa Ligi Kuu

Wakati dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu na zile za Ligi Daraja la Kwanza nchini likitarajiwa kufungwa jana saa 6 usiku, nyota 30 wamesajili kuchezea timu mbalimbali za Ligi Kuu hadi wakati gazeti hili linakwenda mtamboni.

 

9 years ago

Habarileo

Klabu Ligi Kuu zabanwa mikataba ya wachezaji

KLABU za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zinatakiwa kuwasilisha mikataba ya wachezaji wake kwa ajili ya kuidhinishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

9 years ago

Mwananchi

Wachezaji nyota waliosajiliwa, kuachwa msimu huu Ligi Kuu

Wakati dirisha la usajili likifungwa leo saa 6 usiku klabu  mbalimbali zikiwa zimekamilisha harakati zao za usajili tayari kwa kuanza msimu mpya wa ligi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara

>Mbeya City, Prisons na Stand United ndizo timu pekee ambazo hazina mchezaji yeyote aliyewahi kucheza Yanga au Simba katika vikosi vyao msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani