Kijichi kucheza Ligi Kuu Zanzibar
TIMU ya soka ya Kijichi imekuwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja, ambazo msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kushinda 2-1 dhidi ya timu ya Idumu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Harakati za Zimamoto FC kucheza Ligi Kuu
9 years ago
MillardAyo25 Dec
TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? ….
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kamati ya haki na hadhi za wachezaji December 23 ilikaa na kupitia mapingamizi yalikuwa yamewasilishwa kuhusu suala la usajili, mara tu dirisha dogo la usajili lilipofungwa December 15 mwaka huu. Kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wake Richard Sinamtwa imekaa December 23 na kupitia usajili wa vilabu mbalimbali […]
The post TFF imetangaza kuwazuia wachezaji kadhaa kucheza Ligi Kuu ikiwemo Danny Mrwanda kisa? …. appeared first on...
9 years ago
Mtanzania03 Oct
Hasara yazikumba timu Ligi Kuu Zanzibar
NA MOHAMED MHARIZO, DAR ES SALAAM
TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar, zimelalamikia hasara za kiuendeshaji zinazopata kutokana na ligi hiyo kusimamishwa kwa amri ya mahakama kutokana na Chama cha Mpira wa Miguu visiwani humo (ZFA), kukabiliwa na kesi mbalimbali.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa simu kutoka Zanzibar, mmoja wa makocha wa timu za Ligi Kuu ya Zanzibar, Ali Bushiriki ambaye ni kocha mkuu wa timu ya KMKM, alisemakwa sasa hawajui hatima ya ligi hiyo kutokana na kesi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: Mafunzo na KMKM zatoka Sare ya Bao 1--1
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Muungano ya Netiboli yaendelea Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar
10 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan leo
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan
Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...