Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Kuu ya Muungano ya Netiboli yaendelea Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan leo

Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Chuoni katika uwanja wa Amaan, jioni leo na katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 1--1.Mchezaji wa timu ya Shaba akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.

 

9 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan

Wachezaji wa Timu ya JKU wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya KVZ kabla ya kuaza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda 2--0.

Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Jamhuri kamili kwa Ligi Kuu msimu huu

Maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 kati ya Mtibwa Sugar na Yanga SC yamekamilika mkoani hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

10 years ago

Habarileo

Kijichi kucheza Ligi Kuu Zanzibar

TIMU ya soka ya Kijichi imekuwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja, ambazo msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kushinda 2-1 dhidi ya timu ya Idumu.

 

9 years ago

Mtanzania

Hasara yazikumba timu Ligi Kuu Zanzibar

Okoa.jpg1NA MOHAMED MHARIZO, DAR ES SALAAM

TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar, zimelalamikia hasara za kiuendeshaji zinazopata kutokana na ligi hiyo kusimamishwa kwa amri ya mahakama kutokana na Chama cha Mpira wa Miguu visiwani humo (ZFA), kukabiliwa na kesi mbalimbali.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa simu kutoka Zanzibar, mmoja wa makocha wa timu za Ligi Kuu ya Zanzibar, Ali Bushiriki ambaye ni kocha mkuu wa timu ya KMKM, alisemakwa sasa hawajui hatima ya ligi hiyo kutokana na kesi...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

Habarileo

Jeshi Stars wajitoa netiboli Muungano

TIMU ya Jeshi Stars imejitoa kushiriki mashindano ya netiboli ya Muungano inayotarajia kuanza Jumanne kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani