Wanajeshi watano wa Nato wafariki Afghanistan
Watu watano, wakiwemo wanajeshi wawili wa angani wa Uingereza, wamefariki baada ya helikopta ya Nato kuanguka Afghanistan.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wanajeshi 6 wa US wafariki Afghanistan
Wanajeshi sita wa Marekani wamefariki katika ajali ya ndege Kusini mwa Afghanistan ambayo kiini chake hakijajulikana.
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Wanajeshi watano wauawa Afghanistan
Wanajeshi watano wa Afghanistan wameuawa kwa shambulio la anga lililotekelezwa na majeshi ya NATO
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Wanajeshi wa US wafariki ajali ya ndege Afghanistan
Wanajeshi sita wa Marekani wamefariki baada ya ndege ya kijeshi ya nchi hiyo aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan
Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wauawa Afghanistan
Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Watu 20 wafariki harusini Afghanistan
Sherehe moja ya harusi nchini Afghanistan, imeshambuliwa kwa mzinga uliorushwa na roketi na kusababisha mauaji ya watu 20.
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Afghanistan: helikopta yaua watano
Ajali ya helikopta nchini Afghanistan imeua askari wote watano wa Uingereza
11 years ago
BBCSwahili25 May
Obama awazuru wanajeshi Afghanistan
Rais Obama aenda wasifu wanajeshi wa Marekani kabla ya wanajeshi hao kuondoka Afghanistan
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan
Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania