Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wananchi lindeni amani kipindi cha sikukuu’

Polisi mkoani hapa imewataka wananchi kufuata sheria za nchi ili kuimarisha usalama wao na mali katika kipindi cha Krismas na Mwaka Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Majaliwa: Lindeni amani ya nchi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kulinda amani ya nchi huku akikemea uvaaji wa nguo fupi na kuwasihi Watanzania kujenga tabia ya kuvaa mavazi yenye kumpendeza Mungu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi

Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]

The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora

Na Woinde Shizza, ArushaWANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye anaweza kuiongoza serikali na kuiletea nchi maendeleo kama vile Rais Wa awamu ya tano John Magufuli alivyofanya.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti Wa umoja Wa jumuiya ya wazazi nchi Edmund Mundolwa wakati akiongea na wananchi, makadi wa CCM Wa halmashauri ya Meru alipofanya ziara ya kutembelea na kuona kuzindua rasmi mradi Wa Nyuki uliopo katika Kijiji cha Sakila chini...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar

DSC_0022

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.

DSC_0031

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.

DSC_0053

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...

 

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 7, 2015

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio kutoka nchini Marekani
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 7, 2015 tumezungumzia kuhusu historia ya Hayati BOB MARLEY. Msanii maarufu zaidi wa Reggae duniani, ambaye siku ya jana ulimwengu ulikumbuka miaka 70 tangu kuzaliwa kwake
Karibu uungane nasi
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti...

 

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 14, 2015

Mubelwa BandioKipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio kutoka nchini Marekani
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 14, 2015 tumezungumzia kuhusu siku ya wapendanao na kusikiliza nyimbo zilizogusia mahusiano kwa namna zote.
Karibu uungane nasi
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani