Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waandamana, wabwaga maiti Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Kundi la wakazi wa kijiji cha Nkome wilayani Geita, Mkoa wa Geita, wameandamana kisha kutelekeza maiti ya mwenzao, Mlangila Tigamanywa (22), mbele ya kituo cha polisi cha Nkome wakidai baadhi askari wake wamemuua kwa kipigo.

Mlangila anadaiwa kushambuliwa kwa kipigo na askari hao muda mfupi baada ya baba yake mzazi, Bigamanywa Mlangila, kumfikisha kituoni hapo kwa tuhuma za kuvunja dirisha la nyumba yake.

Mbali na mwenyekiti wa kijiji cha Nkome...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi waandamana kupinga ulipuaji GGM

WANANCHI wa kijiji cha Katoma mkoani hapa wameandamana kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Omar Manguchie, kupinga shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu unaoendeshwa na kampuni ya dhahabu ya Geita...

 

10 years ago

GPL

KUNDUCHI WAANDAMANA KWENDA POLISI

Picha za waandamanaji wakielekea kituo cha polisi. KAMERA ya GPL imewashuhudia wakazi wa Kunduchi jijini Dar es Salaam, wakiandamana kuelekea vituo vya Polisi vya Wazo na Mtongani, baada ya kudai kuwa ndugu zao wamekamatwa wakiwa hawana makosa na kupelekwa kituoni. Wakizungumza na GPL baadhi ya waandamanaji walisema difenda tano za Polisi zilikwenda eneo hilo na kuanza kukamata watu ovyo kwa madai kuwa ni wahuni na wavuta...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema waandamana, polisi watumia mabomu kuwatawanya

>Polisi wilayani Bunda jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wachache wa Chadema waliokuwa wanajiandaa kuandamana.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waokota maiti shimo la mchanga

MAITI ya mtu asiyefahamika amekutwa ndani ya shimo la mchanga maeneo ya Chamazi Saku wilayani Temeke.

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD YAPATA VIFAA VYA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI


Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), kontena lenye vifaa vya chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road. Wa kwanza kushoto ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahmani Kaniki.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), akiongozana na Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), kuelekea kwenye jengo...

 

5 years ago

StarTV

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji cha Mashine ya Maji katika kata ya Bunda stoo, mjini Bunda mkoani Mara, jana wamepiga yowe na kuanadamana kwa kukusanyika pamoja katika kituo cha Mashine ya kusukuma maji, iliyoko katika eneo la Migungani, mjini humo, kutokana na kituo hicho kufungwa na kusababisha kukosa huduma ya maji, kwa …

 

9 years ago

BBCSwahili

Wafungwa wabwaga wanafunzi wa Harvard kwenye mdahalo

Wafungwa kutoka New York wimeshinda mdahalo dhidi ya kundi kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, chuo kilichoorodheshwa bora zaidi duniani.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2104: Keshi, Yobo wabwaga manyanga

>Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi amebwaga manyanga kuendelea kuifundisha Super Eagles baada ya timu hiyo kutolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani