Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waokota maiti shimo la mchanga

MAITI ya mtu asiyefahamika amekutwa ndani ya shimo la mchanga maeneo ya Chamazi Saku wilayani Temeke.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CHONGOLO AAGIZA POLISI KUWA CHUKULIA HATUA WATAKAOBAINIKA KUCHIMBA MCHANGA KWENYE MITO.


Meneja wa TARURA wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Leopold Runji akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilaya hiyo ,Mhe. Daniel Chongolo kuhusu miundombinu ya barabara katika makazi ya TBA muda mfupi baada ya kutoka kukagua mito inayochimbwa mchanga
Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo wakiwa wameshuka kwenye gari na kuelekea kwenye mto salasala kuangalia namna ya kuwadhibiti wananchi wanaochimba mchanga katika mto huo.

 

10 years ago

Vijimambo

Wananchi waandamana, wabwaga maiti Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Kundi la wakazi wa kijiji cha Nkome wilayani Geita, Mkoa wa Geita, wameandamana kisha kutelekeza maiti ya mwenzao, Mlangila Tigamanywa (22), mbele ya kituo cha polisi cha Nkome wakidai baadhi askari wake wamemuua kwa kipigo.

Mlangila anadaiwa kushambuliwa kwa kipigo na askari hao muda mfupi baada ya baba yake mzazi, Bigamanywa Mlangila, kumfikisha kituoni hapo kwa tuhuma za kuvunja dirisha la nyumba yake.

Mbali na mwenyekiti wa kijiji cha Nkome...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD YAPATA VIFAA VYA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI


Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), kontena lenye vifaa vya chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road. Wa kwanza kushoto ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahmani Kaniki.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), akiongozana na Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), kuelekea kwenye jengo...

 

11 years ago

GPL

SHIMO HATARI

Shimo hatari lililopo katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo! Ungana na Global TV Online kushuhudia tukio…

 

11 years ago

GPL

SHIMO HATARI LAZIBWA

Shimo hatari lililoripotiwa na Global TV Online juzi Mei 5, 2014 limezibwa kwa sehemu kubwa. Shimo hilo lililokuwa kero kwa watumiaji, lilikuwa katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar es Salaam. Ungana na Global TV Online kushuhudia shimo hilo…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngorongoro; Shimo linalotunza wanyama

KAMA tulivyoahidi wiki iliyopita, tuanze makala yetu ya leo, ambayo itakuwa ya mwisho katika mfululizo wa simulizi kuhusu Bonde la Ngorogoro, kwa kuangalia jinsi hadhi ya bonde hili ilivyopandishwa kisheria....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shimo la choo laua watoto

WATOTO wawili wamefariki dunia juzi baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo walipokuwa wakicheza. Watoto hao wametajwa kuwa ni Abubakari Mohamed (3) mkazi wa Vingunguti na Abdulmalick (3) mkazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya ‘Shimo la Mungu’ Newala

>Katika Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara lipo shimo la ajabu lijulikanalo kama ‘Shimo la Mungu’ lililochukua robo tatu ya ukubwa wa wilaya hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kichanga chaokolewa ndani ya shimo la choo

Mtoto mchanga mwenye umri wa siku mbili amenusurika kufa baada ya mama yake mzazi, Hadija Pangani (29) Mkazi wa Kijiji cha Mpiruka Wilaya Nachingwea, Lindi kumfunga kwenye kiroba na kumtumbukiza chooni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani