Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wapigwa nondo jijini Mbeya

UPIGAJI nondo watu umerejea kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Mbeya na mengine mkoani hapa na kuzua hofu kwa wakazi. Hayo yalibainishwa na wakazi kadhaa waliohojiwa juu ya hali ya usalama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli Azomewa Jijini Mbeya…..Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa Hapa.

Makufuli akumbana na wakati mgumu mbeya ya zomea zomea nakuonyeshwa sign za Chadema na kuiba Kwa kelele Luwassa Luwassa . Sunday, September 27, 2015 Bonyeza vidio

The post Magufuli Azomewa Jijini Mbeya…..Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa Hapa. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA WAFANYAKAZI JIJINI MWANZA WAPIGWA MSASA

Katibu wa TUCTA Taifa,Nicolaus Mgaya akizungumza wakati wa kufungua Semina ya Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa CWT Mkoa wa Mwanza.wengine pichani toka kushoto ni Mkuu wa Mawasilano wa SSRA), Sarah Kibonde Msika,Mwenyekiti wa TUCTA (M) Mwanza,Yusuph Simbaulanga na Katibu wa TUCTA Mkoa wa Mwanza, Evarist Mwalongo. Mkuu wa Mawasiliano wa SSRA,Sarah Kibonde akiwasilisha mada katika Semina hiyo. Semina inaendelea hapa na Washiriki wakiwa wametulia tuliii. Bw....

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

11 years ago

Michuzi

Wachoma Nyama jijini Mwanza wapigwa msasa na Safari Lager

KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia kinywaji chake cha Safari Lager jana imetoa mafunzo kwa wachoma nyama kutoka Baa mbali mbali za Mkoa wa Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2014 yatakayo fanyika katika viwanja vya Furahisha.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Ziwa, Erick Mwayela, alisema lengo la kutoa mafunzo ni kutoa elimu kwa wachoma nyama ukizingatia uchomaji nyama ni moja sehemu ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO

Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Gideon Kasege (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya wawasilishaji mada katika mafunzo yanayoshirikisha maafisa mazingira katika mikoa ya Iringa na Mbeya yanayofanyika jijini Mbeya leo. Lengo la mafunzo hayo ni kuwashirikisha mpango kazi wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na kupata michango yao. Kushoto ni Meneja wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Nyanda za Juu Kusini David Elias. Katikati ni Afisa Mazingira...

 

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE ALIVYO FUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA‏

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi "Sugu" akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani