Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAOTAKIWA KUSTAAFU WASIPEWE MIKATABA YA KUENDELEA NA KAZI SERIKALINI - MH. KAIRUKI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mikataba wastaafu serikalini sasa basi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema waajiri wasitegemee Serikali kuruhusu kuendelea kutoa mikataba kwa watumishi wanaostaafu wakati mpango wa urithishanaji madaraka upo na watumishi wenye sifa stahiki wapo.     

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Opresheni Tokomeza - Mh. Kairuki

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki amesema hayo jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Oktoba 22, 2014) wakati akizungumza na Wajumbe wa Tume hiyo waliomtembelea ofisini kwake ili kubadilishana mawazo.
“Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano na kuwawezesha ili mtekeleze...

 

10 years ago

Dewji Blog

KAIRUKI: Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Oparesheni Tokomeza

NWKS Kairuki - Tokomeza

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (MB) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Jaji Kiongozi Mstaafu Hamis Amir Msumi (kushoto) na Wajumbe wengine wa Tume hiyo, Majaji Wastaafu Stephen Ihema (kulia) na Vincent Lyimo ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. (Oktoba 22, 2014).

Na Mwandishi wetu

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nilianza kazi nikamkuta amelazwa, sasa nakaribia kustaafu nitamwacha’

>Muuguzi wa Wodi Namba Nne katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, Belta Lyamboko amesema alipoanza kazi katika hospitali hiyo mwanzoni mwa mwaka 1981, alimkuta Mzee Abdi Lanjuu (75) na sasa anajiandaa kustaafu akiamini atamwacha mzee huyo hospitalini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kairuki: Tuache kufanya kazi kwa mazoea

Sheria 1

Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi.

Na Mwandishi Wetu

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakumbushwa kuwa chachu ya mabadiliko katika utumishi wa umma na kuondokana na utendaji...

 

10 years ago

Michuzi

Tuache kufanya kazi kwa mazoea - Kairuki

Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtunza Kumbukumbu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi....

 

9 years ago

Dewji Blog

2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu

football-gerrard-steven_3304393

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.

Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.

“Sina...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva walia na mikataba mipya ya kazi

MADEREVA wa magari nchini wameitaka serikali kuharakisha kutoa tamko kuhusu kuanza kutumika mikataba mipya, ambayo ilitakiwa kuanza kutumika tangu Julai mosi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Nafasi za kazi Serikalini mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 19 Agosti, 2014

vacancies1

 

Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za 146 za kazi kwa ajili ya Wizara, Idara zinazojitegemea,wakala, Taasisi za umma na Mamlaka ya Serikali za Mitaa kama zilivyoorodheshwa katika tangazo kwa kubofya hapa

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani