Mikataba wastaafu serikalini sasa basi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema waajiri wasitegemee Serikali kuruhusu kuendelea kutoa mikataba kwa watumishi wanaostaafu wakati mpango wa urithishanaji madaraka upo na watumishi wenye sifa stahiki wapo.   Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Aug
Wastaafu serikalini kupata pensheni haraka
WASTAAFU wanaotegemea pensheni inayotolewa na Hazina ama wanufaika wa mirathi ya waliokuwa wafanyakazi wa serikali, wakitoa taarifa mapema na kutunza kumbukumbu muhimu watapata haraka malipo yao.
9 years ago
MichuziWANAOTAKIWA KUSTAAFU WASIPEWE MIKATABA YA KUENDELEA NA KAZI SERIKALINI - MH. KAIRUKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-GlJ9erjDuo4/VngOYJziRJI/AAAAAAAINtc/-7YKtdZ6FJM/s1600/STORY-WASTAAFU%2BWASIPEWE%2BMIKATABA%2BEDITED-page-001.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Ajira za serikalini sasa kwa mtandao
11 years ago
Habarileo26 Feb
Maombi ya ajira serikalini sasa kielektroniki
MAOMBI ya ajira serikalini na katika taasisi na mashirika ya umma, sasa yatafanyika kwa njia ya kielektroniki (e-recruitment), hali itakayosaidia kuondoa mlolongo mrefu uliokuwepo.
10 years ago
Mwananchi12 May
Serikali sasa kufuta mikataba ya wakandarasi wazembe
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele-2
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Kukaa gizani sasa basi
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Aboutrika soka basi sasa!