Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukaa gizani sasa basi

Siku za kukaa gizani kwa wakazi wa Kijiji cha Uchindile wilayani Kilombero zipo ukingoni baada ya mtambo wa kuzalisha umeme wa kilowati saba utakaotokana na mabaki ya mazao na miti kuzinduliwa na kaya zaidi ya 100 zitanufaika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi sasa gizani siku saba.

NA RESTUTA JAMES 7th September 2015 Shirika la umeme nchini (Tanesco), limetangaza nchi kuingia ‘gizani’ kwa wiki nzima kuanzia leo kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya gesi inayozalisha umeme kutoka Songosongo na kuanza majaribio ya gesi […]

The post Nchi sasa gizani siku saba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Uharibifu wa barabara sasa basi’

Kituo kipya cha mzani cha Vigwaza kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, kitakachoanza kutumika hivi karibuni kinatarajiwa kuwa mwarobaini wa uharibufu wa barabara unaotokana na madereva hasa wa malori kuzidisha mizigo na kupelekea baadhi ya barabara kuharibikia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Aboutrika soka basi sasa!

Klabu ya Al Ahly bado inatumai kuwa itaweza kumshawishi nyota wake Mohamed Aboutrika kuahirisha mipango yake ya kustaafu kwa mara nyingine.

 

10 years ago

Michuzi

MAUAJI KITETO SASA BASI - SERIKALI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda (Mb) akizungumza na Kamati ya Uongozi ya Bunge leo na kuainisha hatua madhubuti za kuchukuliwa na serikali ili kukomesha mauaji baina ya wakulima na wafugaji yanayoendelea Mkoani Manyara wilaya Kiteto na sehemu nyingine nchini. Wajumba wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakimsikiliza Waziri Mkuu kwa umakini mkubwa alipokuwa akitanabaisha jinsi Serikali isivyopendezwa na mauaji ya Kiteto na jinsi ilivyojipanga kukomesha kabisa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mikataba wastaafu serikalini sasa basi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema waajiri wasitegemee Serikali kuruhusu kuendelea kutoa mikataba kwa watumishi wanaostaafu wakati mpango wa urithishanaji madaraka upo na watumishi wenye sifa stahiki wapo.     

 

11 years ago

Mwananchi

Kuanzia sasa unyonge basi. Inatisha!

Wengi tulishangazwa na hatukuamini tuliposikia kauli ya Baba Mkuu pale alipowaambia CCM kuwa sasa unyonge basi.

 

9 years ago

Mwananchi

Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCM”.

 

10 years ago

GPL

TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo. Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na paparazi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru...

 

10 years ago

GPL

MAINDA NIMEFANYA SANA ANASA, SASA BASI!

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kipindi cha nyuma alipotangaza kuokoka alikuwa ni kama anamtania Mungu ila sasa ameokoka kikwelikweli. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema awali alipofunguka kuwa ameokoka, hakuwa siriasi kwani alikuwa akiendeleza anasa za hapa na pale lakini sasa yeye na Yesu, Yesu na yeye. Staa wa filamu Bongo Ruth...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani