MAUAJI KITETO SASA BASI - SERIKALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-HobwrHXn9D0/VGd-CohKN3I/AAAAAAAGxic/jAyTinksJ0o/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda (Mb) akizungumza na Kamati ya Uongozi ya Bunge leo na kuainisha hatua madhubuti za kuchukuliwa na serikali ili kukomesha mauaji baina ya wakulima na wafugaji yanayoendelea Mkoani Manyara wilaya Kiteto na sehemu nyingine nchini.
Wajumba wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakimsikiliza Waziri Mkuu kwa umakini mkubwa alipokuwa akitanabaisha jinsi Serikali isivyopendezwa na mauaji ya Kiteto na jinsi ilivyojipanga kukomesha kabisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Serikali imeshindwa kuzuia mauaji Kiteto?
MAUAJI ya mara kwa mara yanayoendelea wilayani ya Kiteto bila ya jitihada za makusudi kuyakomesha yanaashiria kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya viongozi na taasisi wanazoziongoza Tunaelezwa kuanzia Februari hadi sasa...
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mauaji tena Kiteto, Serikali yawaangukia viongozi wa siasa
WAKATI mkulima Hassan Kondeya ameuawa jana na kundi la wafugaji wa kabila la Masai, Serikali imetoa kauli kuhusiana na hali tete ya mauaji ya mara kwa mara wilayani humo. Akitoa...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
MAONI: Kashfa hizi kwa Serikali sasa basi
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Mauaji ya wakulima tena Kiteto
MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Mauaji kiteto kujadiliwa Bungeni
BUNGE limepeleka kamati ndogo, chini ya uongozi wa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, kwenda kuchunguza mauaji ya kutisha yanayoendelea kutokea wilayani Kiteto mkoani Manyara. Hatua hiyo ilitangazwa jana Bungeni...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Mauaji ya Kiteto yalitikisa Bunge
JESHI Polisi linawashikilia watu watano kuhusiana na mauaji katika mapigano kati ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Matui wilayani Kiteto.
Katika mapigano hayo, watu wanne waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Akitoa kauli ya serikali bungeni jana, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mathias Chikawe, alisema mapigano hayo yalitokea juzi katika wilaya hiyo.
Chikawe alisema Jumanne iliyopita katika kijiji hicho, mkulima Hassan Kondeja, mkazi wa Kijiji cha Bwawani, alikwenda katika Kituo cha...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Magufuli: Nachukia mauaji ya Kiteto
*Asema hayupo tayari kuongoza Serikali inayovuja damu
Na Bakari Kimwanga, Kongwa
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amechoka kusikia mauaji ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto.
Mgombea huyo alisema akichaguliwa kuwa rais atashughulika na Mkuu wa Mkoa (RC) na Mkuu wa Wilaya (DC), atakaowateua iwapo mauaji hayo yataendelea.
Alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) atakayeteuliwa anapaswa kujipanga vizuri kusimamia amani katika eneo hilo la sivyo...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Mauaji ya Kiteto, Siha yakome
KWA muda mrefu kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu ugomvi kati ya wakulima na wafugaji wanaogombania maeneo hapa nchini Ugomvi wa pande hizo mbili zimekuwa zikisababisha vifo, majeraha,...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto
MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...