Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANARIADHA WANNE TANZANIA KUWANIA MEDALI LEO CHINA

 Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka akimpongeza rais mpya wa Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF), Lord Sebastain Coe mara baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu nchini China. Mtaka yupo nchini China akiwakisha RT katika mkutano mkuu wa IAAF na kupiga kura kumchagua kiongozi mpya.Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka akipokea msaada wa wa vifaa vya michezo kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya Nike, Rebet Jones mjini Beijing China. Mtaka yupo nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wanariadha wanne waenda nchini China bila daktari

WANARIADHA wanne na kiongozi mmoja wa riadha wanaondoka nchini leo kwenda Beijing, China kushiriki mashindano ya dunia yatakayoanza Alhamisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kusaka medali Madola leo

Tanzania inaanza kusaka medali kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola leo mchana, wakati timu za taifa za mpira wa meza, kuogelea na judo zitakuwa kwenye viwanja tofauti jijini Glasgow, Scotland.

 

11 years ago

Michuzi

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...

 

9 years ago

StarTV

Raia wanne wa China wahukumia miaka 20 jela

Mahakama ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China baada ya kuwakuta na hatia ya kuingiza nchini pembe 11 za Faru kinyume na Sheri ya Wanyamapori namba tano ya mwaka 2009 na Sheria ya Uhujumu Uchumi ya Tanzania.

Katika adhabu hiyo Mahakama pia imeamuru kutaifishwa kwa gari binafsi namba T 103 DER iliyotumiwa na raia hao wa China kuingiza pembe hizo nchini Novemba 6 mwaka huu kutoka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulo uliopo wilayani Kyela mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Medali ya Madola imeachwa Tanzania’

Wakati msafara wa Tanzania ukiwasili kwenye kijiji cha michezo tayari kwa michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kocha mkuu wa timu ya taifa ya judo, Zaid Hamis ametoa kali baada ya kueleza kuwa medali ya timu yake imebaki Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Dk.Shein akutana na Balozi wa China nchini Tanzania leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

BBCSwahili

wanariadha wa Tanzania wajifua Eldoret

Wanariadha wa Tanzania wajifua Eldoret, nchini Kenya kwa michezo ya Afrika itakayofanyika nchini Congo Brazzaville,Septemba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya awafunda wanariadha wa Tanzania

Bingwa mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Kipchoge Keino amewaambia wanariadha wawili wa Tanzania waliokokambini Kenya kuwa nguzo kuu ya kufanikiwa ni kuzingatia nidhamu, kujituma na kujiamini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani