Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasheria watatu wahukumiwa kifungo Saudi Arabia

Saudi Arabia Twitter user

Na Mwandishi wetu

Mahakama nchini saudi arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane kwa wanasheria watatu nchini humo, kwa kosa la kukosa mfumo wa haki za nchi katika mtandao wa kijamii blogs na twitter.

Shirika la habari nchini Saudi Arabia limesema kuwa wanasheria hao wamepatikana na hatia ya kuwadharau watawala na kudharau mfumo wa mahakama wa nchi hiyo.

Mahakama imesema wanasheria hao watazuiliwa kufanya mawasiliano na jamii pamoja na chombo chochote cha habari nchini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawahukumu wanasheria

Mahakama nchini Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane kwa wanasheria wa tatu nchini humo

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 4 wahukumiwa kifo Saudi Arabia

3 kati yao wamepatikana na hatia ya mauaji na 1 kuuza dawa za kulevya. Amnesty International limeshtumu mfumo wa sheria wa Saudia

 

5 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawakamata wanawafalme watatu wakuu kutoka familia hiyo

Hatua hiyo inaonesha kuthibitisha kukamatwa kwa makumi ya wanawafalme kama ilivyoagizwa na mwanamfalme Mohammed bin Salman mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

230 wahukumiwa kifungo cha maisha Misri

Watu 230 wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuhusika katika harakati za kuiondoa Serikali ya Hosni Mubarak madarakani.

 

9 years ago

StarTV

Watu 8 wahukumiwa kifungo cha miaka 32 Nzega

Mahakama ya Hakimu mkazi wilaya ya Nzega Mkoani Tabora imewahukumu watu wanane kwenda jela miaka 32 kwa kosa la kufanya uvamizi na kuiba dhahabu Tofali sita na nusu zenye thamani ya zaidi Billion 4 katika mgodi wa dhahabu wa Resolute uliopo wilayani Nzega na wengine wanane wakiachiwa huru baada ya kuonekana hawana hatia.

Akitoa hukumu hiyo hakim mkazi wilaya Silyvester Kainda ameiambia mahakama hiyo kuwa washitakiwa Mawazo Saliboko ,Edward Bunera ,Shaaban Amuru,John Ndaki,Pius Shija ,ALoyce...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama azuru Saudi Arabia

Rais wa Marekani Barack Obama yuko chini Saudi Arabia kufuta ati ati kuhusu uhusiano wa mataifa hayo mawili .

 

10 years ago

BBCSwahili

Houthi washambulia Saudi Arabia

Saudi Arabia inasema kuwa imezuia makombora yaliyofyatuliwa kutoka nchini Yemen kwenda ardhi yake na waasi wa Houthi

 

10 years ago

BBCSwahili

Tumehitimisha mashambulizi:Saudi Arabia

Saudi Arabia imesema imehitimisha Kampeni za mashambulizi dhidi ya Waasi wa kihuthi nchini Yemen.

 

10 years ago

BBCSwahili

Buriani kwa mfalme wa Saudi Arabia

Mazishi ya mfalme wa Saudi Arabia Abdulla ambaye aliaga dunia hii leo yamefanyika katika mji mkuu wa Saudi Arabia,Riyadh

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani