Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 4 wahukumiwa kifo Saudi Arabia

3 kati yao wamepatikana na hatia ya mauaji na 1 kuuza dawa za kulevya. Amnesty International limeshtumu mfumo wa sheria wa Saudia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanasheria watatu wahukumiwa kifungo Saudi Arabia

Saudi Arabia Twitter user

Na Mwandishi wetu

Mahakama nchini saudi arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane kwa wanasheria watatu nchini humo, kwa kosa la kukosa mfumo wa haki za nchi katika mtandao wa kijamii blogs na twitter.

Shirika la habari nchini Saudi Arabia limesema kuwa wanasheria hao wamepatikana na hatia ya kuwadharau watawala na kudharau mfumo wa mahakama wa nchi hiyo.

Mahakama imesema wanasheria hao watazuiliwa kufanya mawasiliano na jamii pamoja na chombo chochote cha habari nchini...

 

10 years ago

Michuzi

JK AOMBOLEZA KIFO CHA Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa saudi Arabia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameituma Saudi Arabia salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha
Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) ambaye alifariki jana, Alhamisi, Januari 22, 2015, na kuzikwa leo, Ijumaa, Januari 23, 2015 mjini Riyadh.

Katika salamu zake kwa Mfalme mpya, Mfalme Salman bin Abdul Aziz al Saud, Rais Kikwete amesema kuwa anaungana na wananchi wa Saudi Arabia na dunia nzima kuomboleza kifo cha kiongozi aliyetoa mchango mkubwa...

 

9 years ago

GPL

MSIKITI NCHINI SAUDI ARABIA WAPOROMOKA NA KUUA WATU 107

Kreni  baada ya kuangukia msikiti wa Masjid al-Haram Uokoaji ukiendelea Waumini wa dini ya kiislam wakitaharuki msikitini hapo mara baada ya tukio hilo. Waokoaji…

 

9 years ago

GPL

ZAIDI YA WATU 220 WAFARIKI KWA KUKANYAGANA, MAKKA-SAUDI ARABIA

Waokoaji wakiwa katika harakati za kuokoa majeruhi wa tukio hilo. Shughuli za uokoaji zikiendelea. Umati wa waumini wa dini ya Kiislam waliokwenda kuhiji Makka, Saudi…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aelekea Saudi Arabia kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amekwenda Saudi Arabia asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.

Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.

Mjini Berlin, Ujerumani ambako Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili kesho, Jumatatu, Januari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu saba wahukumiwa kifo kwa ubakaji.

Watu saba wamehukumiwa kifo baada ya kuwabaka kwa zamu wanawake wanne nje ya mji mkuu wa Afghanista,kabul mwezi uliopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama azuru Saudi Arabia

Rais wa Marekani Barack Obama yuko chini Saudi Arabia kufuta ati ati kuhusu uhusiano wa mataifa hayo mawili .

 

10 years ago

BBCSwahili

Houthi washambulia Saudi Arabia

Saudi Arabia inasema kuwa imezuia makombora yaliyofyatuliwa kutoka nchini Yemen kwenda ardhi yake na waasi wa Houthi

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawahukumu wanasheria

Mahakama nchini Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane kwa wanasheria wa tatu nchini humo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani