WANAWAKE NI JANGA
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtow0G3GxLJWbgYszAoiP8xDKr-aWxV7yPHyLcd4KQyRHXUnZksYdDFDWvqeBZ3ZfJmHgXf1lvxCIwFN9ajRLlqs/janaga.jpg?width=650)
Na Makongoro Oging' JANGA la kusafirisha madawa ya kulevya Bongo limezidi kuwa zito kufuatia takwimu za hivi karibuni kuonesha kwamba, idadi ya wanawake kujihusisha na shughuli hiyo inazidi kupanda. Jack Patrick. Akizungumza na Uwazi juzi, Kamanda wa Kudhibiti na Kuzuia Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa alisema wanawake wamekuwa ni janga kwa kuwa wanaongoza kwa kukamatwa kutokana na kujihusisha na biashara...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Nchi zinazoongozwa na wanawake wametumia mikakati gani kukabiliana na janga hili?
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Ni janga
Na Waandishi Wetu, Dar na Kahama
WATU 38 wameripotiwa kupoteza maisha jana katika matukio ya ajali mawili tofauti yaliyotokea kwenye mikoa ya Mbeya na Shinyanga.
Taarifa zilizokusanywa na MTANZANIA Jumamosi kutoka Mbeya na Shinyanga, zilieleza kuwa tukio la kwanza lilitokea eneo la Uwanja wa Ndege, Kata ya Kiwira, wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, ambako gari aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T 290 ADU, lililokuwa kwenye kasi lilipinduka baada ya kushindwa kukata kona.
Tukio hilo...
10 years ago
GPLWANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE
10 years ago
MichuziWanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake
Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
5 years ago
MichuziDC MBONEKO AONGOZA MAMIA YA WANAWAKE KONGAMANO LA WANAWAKE 'SHINYANGA WOMEN'S DAY OUT'
10 years ago
MichuziWANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA