Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake Turkana waungana kujiwezesha

Mjini Lodwar, kina mama ambao waliopitia mateso mbali mbali wameunda kikundi cha kujiwezesha na kubadili mwenendo wa mfumo dume.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wauwawa Turkana, Kenya

Polisi wauwawa na kutoweka kaskazini mwa Kenya wakati wa operesheni za usalama

 

11 years ago

BBCSwahili

Njaa na masaibu mengine Turkana

Kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miaka ya karibuni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafuta yasubiriwa kwa hamu Turkana

Maandamano tayari yameshuhudiwa miongoni mwa wakaazi wa Turkana wanaodai hawajaona matunda ya kugunduliwa mafuta eneo hilo

 

10 years ago

Habarileo

UKAWA waungana rasmi

VYAMA vinne vya upinzani nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), jana vilitiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano, ikiwamo kusimamisha mgombea katika chaguzi zote, kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na ule wa wabunge, madiwani na rais mwaka kesho.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo na Huawei waungana

Katika kile kinachoonyesha ni kujipanga vyema, kampuni nguli za mawasiliano nchini Huawei na Tigo wameungana kukukufikishia huduma kwa gharama nafuu na haraka zaidi.

Tigo na Huawei wameungana kukuletea simu za mkononi aina ya Huawei Y360 ambazo zitakua zikiuzwa katika maduka ya Tigo nchi nzima.

tigo and huawei

Katika kujua watanzania wamelipokeaje hili, nilitembelea maduka kadhaa ya Tigo jijini Dar es Salaam kuzungmza na wateja wao.

Aboubakar Msami mkazi wa Temeke anasema

‘Ni simu nzuri ya kipekee, bei...

 

10 years ago

Habarileo

Maelfu waungana kumwombea JK

Rais Jakaya KikweteMAELFU wa wananchi mwishoni juzi waliungana katika ibada maalumu kumwombea afya njema Rais Jakaya Kikwete, aliyefanyiwa upasuaji wa tezi dume katika katika Hospitali ya Johns Hopkins Marekani hivi karibuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wayahudi na Waislamu waungana Norway

Zaidi ya watu 1000 wengi wakiwa waislamu wameunda mviringo na kulizunguka sinagogi nchini Norway kuonyesha umoja wao na wayahudi

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina waungana na Syria kuwatimua IS

Raia wa Palestina wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi ya wakimbizi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani