Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Palestina waungana na Syria kuwatimua IS

Raia wa Palestina wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi ya wakimbizi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina

 Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mwakyembe kuwatimua kazi wazembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hatosita kuwatimua kazi watendaji wabovu wa Shirika ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara) wanaoshindwa kusimamia kikamilifu utendaji kazi wao na kuisababishia Serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa masilahi binafsi.

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai

Tanzania imekanusha vikali taarifa kuwa ina mpango wa kuwaondoa wamasai wapatao 40,000 katika eneo lao la urithi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

 

11 years ago

Mtanzania

Chadema kuwatimua waliosaliti Ukawa

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA SHABANI MATUTU

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa kazi ya kuwaadhibu wajumbe wa Bunge la Katiba waliokaidi makubaliano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa kuingia katika Bunge Maalumu la Katiba wataadhibiwa na vikao maalumu vya chama.

Hayo aliyasema jijini Dar es Salaam jana, alipokuwa akizungumza na wanahabari.

Alisema yeyote aliyekiuka maazimio ya Ukawa na kuingia kwenye vikao vya Bunge...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenye nyumba kuwatimua wahamiaji UK

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kuwalazimu wenye nyumba za kibinafsi nchini humo kuwajibikia hatua yao ya kuwafurusha wahamiaji kutoka katika maskani yao iwapo wanashindwa kupata maombi ya kuendelea kukaa nchini Uingereza

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki

Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib

 

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani