Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai

Tanzania imekanusha vikali taarifa kuwa ina mpango wa kuwaondoa wamasai wapatao 40,000 katika eneo lao la urithi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Hatuna mpango kufukuza Wamasai Loliondo

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 eneo la Loliondo mkoani Arusha ni za uongo na uchokozi. Novemba mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU: HATUNA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai kuwa Serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha  hazina ukweli wowote.
Novemba mwaka huu, gazeti The Guardian la nchini Uingereza, liliandika habari kuwa serikali ina mpango wa kuwafukuza Wamasai wanaoishi eneo hilo.
Gazeti hilo lilidai kuwa, lengo ni kuwapatia eneo lenye kilometa za mraba 1,500, kampuni ya OBC ya Falme za Kiarabu.
Akizungumza na wananchi wa...

 

10 years ago

Bongo5

Tanzania yaingia kwenye kashfa mpya, ni mpango wa kuwahamisha wamasai 40,000 ili kuwapa Waarabu eneo la kuwindia

Kama ni kweli basi nchi hii inahitaji maombi. Ikiwa bado Tanzania inakabiliwa na skendo ya pembe za ndovu zinazodaiwa kuondoka na ndege ya rais wa China alizuru nchini, kashfa nyingine kubwa imezuka! Tanzania inashutumiwa kurejesha mpango wa kuwahamisha wamasai 40,000 katika eneo waliloishi kwa miaka na miaka, ili kuipa eneo hilo familia ya kifalme ya […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenye nyumba kuwatimua wahamiaji UK

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kuwalazimu wenye nyumba za kibinafsi nchini humo kuwajibikia hatua yao ya kuwafurusha wahamiaji kutoka katika maskani yao iwapo wanashindwa kupata maombi ya kuendelea kukaa nchini Uingereza

 

11 years ago

Mtanzania

Chadema kuwatimua waliosaliti Ukawa

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA SHABANI MATUTU

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa kazi ya kuwaadhibu wajumbe wa Bunge la Katiba waliokaidi makubaliano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa kuingia katika Bunge Maalumu la Katiba wataadhibiwa na vikao maalumu vya chama.

Hayo aliyasema jijini Dar es Salaam jana, alipokuwa akizungumza na wanahabari.

Alisema yeyote aliyekiuka maazimio ya Ukawa na kuingia kwenye vikao vya Bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mwakyembe kuwatimua kazi wazembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hatosita kuwatimua kazi watendaji wabovu wa Shirika ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara) wanaoshindwa kusimamia kikamilifu utendaji kazi wao na kuisababishia Serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa masilahi binafsi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina waungana na Syria kuwatimua IS

Raia wa Palestina wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi ya wakimbizi

 

11 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

11 years ago

GPL

CCM KUANZA KUWATIMUA VIONGOZI WAVIVU,WASIO NA KAZI NA WALA RUSHWA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kuwa CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Katibu wa Itikadi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani