Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Mwakyembe kuwatimua kazi wazembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hatosita kuwatimua kazi watendaji wabovu wa Shirika ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara) wanaoshindwa kusimamia kikamilifu utendaji kazi wao na kuisababishia Serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa masilahi binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

10 years ago

GPL

CCM KUANZA KUWATIMUA VIONGOZI WAVIVU,WASIO NA KAZI NA WALA RUSHWA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kuwa CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Katibu wa Itikadi…

 

10 years ago

Vijimambo

RC DAR-ES-SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa mkoa wa Dar es salaam leo wakati akizindua Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya akina mama na watoto walio chini ya miaka 5 kwa mkoa wa Dar es salaam.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa Dar es salaam leo kueleza nafasi yake katika kusimamia utekelezaji wa wakati Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa mkoa wa Dar es salaam leo wakati akizindua Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya akina mama na watoto walio chini ya miaka 5 kwa mkoa wa Dar es salaam.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa Dar es salaam leo kueleza nafasi yake katika kusimamia utekelezaji wa wakati Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya...

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe afukuza kazi vigogo 6 wa Reli

Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza wafanyakazi sita wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wafukuzwe kazi na polisi wawakamate na kuwalaza rumande kuanzia jana kutokana na tuhuma za wizi.

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI INAFANYIWA KAZI- DK.MWAKYEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi wanafanyia kazi na muda sio mrefu watatoa taarifa juu ya hatua walizofikia. 
Dk.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP),amesema kuwa suala mahakama linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya Rais Dk.John Pombe Magufuli wakati wa kampeni. 
Mwakyembe amesema kuwa watu...

 

9 years ago

Michuzi

SUALA LA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI LINAFANYIWA KAZI - DKT. MWAKYEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi linafanyiwa kazi na kwamba muda sio mrefu ujao taarifa juu ya hatua zilizofikiwa itatangazwa. Dkt.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), na kutanabahishwa kwamba suala la mahakama hiyo linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya Rais Dk.John Pombe Magufuli wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina waungana na Syria kuwatimua IS

Raia wa Palestina wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi ya wakimbizi

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai

Tanzania imekanusha vikali taarifa kuwa ina mpango wa kuwaondoa wamasai wapatao 40,000 katika eneo lao la urithi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani