Wanawake wa Afrika: Jinsi ya kuchangia mjadala
BBC itaendesha mjadala wa Global Questions ambapo raia watashiriki kwa kuuliza jopo la wataalam jinsi wanawake wanaweza kushirikishwa kikamilifu kuamua mustakabali wa Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Siku ya Wanawake Duniani: Jinsi wanawake wa vijijini wanavyoweza kubadilisha jamii kiuchumi wakiwezeshwa
Maisha yangu yalikuwa magumu. Sikuwa na pesa ya chakula kwa ajili yangu na watoto wangu, sikuwa na pesa hata ya kununua nguo, nilikuwa natembea pekupeku bila viatu.
5 years ago
Michuzi
SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.

Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA
5 years ago
BBCSwahili09 May
Virusi vya corona: Jinsi amri ya kukaa nyumbani ilivyoibua mjadala kwa wafanyakazi wa ndani India
Mwishoni mwa wiki, India iliongeza muda wa marufuku ya kutoka nje katika taifa zima kwa muda wa usiku kwa siku 40 nyingine lakini wafanyakazi wa ndani wanaweza kuwa wanarundi nyumbani kwao.
11 years ago
Michuzi
TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Imam Bahloul: Mwanamke aliyefufua mjadala wa wanawake kuongoza ibada misikitini
Jina la msomi wa masuala ya Kiislamu Imam Bahloul lilirejelewa mara kwa mara Ijumaa iliopita baada ya swala ya Ijumaa.
11 years ago
Habarileo05 Mar
Wajumbe wanawake watikisa Bunge malumbano ya jinsi
UKUMBI wa Bunge Maalumu la Katiba umegeuka ukumbi wa malumbano ya kijinsi baada ya wajumbe wanawake, kusimama na kuimba, wakitaka haki zao kwenye kanuni za bunge hilo, kiongezwe kipengele kinachotaka kuzingatiwa jinsi kwenye nafasi za mwenyekiti na makamu wake wa bunge hilo.
5 years ago
Michuzi
Tazama jinsi Shirika la CAMFED Tanzania lilivyoadhimisha siku ya Wanawake Duniani
Wana CAMA ni mtandao wa wasichana waliofadhiliwa na shirika la CAMFED kupata elimu. Katika kudhimisha siku ya Wanawake Duniani wana CAMA walijumuika na wanawake wengine katika wilaya za Kilosa, Gairo, Morogoro, Ifakara, Kilombero, Kibaha, Chalinze, Rufiji, Kibiti, Kilolo, Handeni DC, Handeni TC, Iringa na Pangani, kuadhimisha siku hiyo kwa kishindo.
Baadhi ya mabinti waliofadhiliwa na CAMFED (wana CAMA) kusoma ufundi wa magari katika chuo cha wananchi Handeni (Folk Development...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
10-May-2025 in Tanzania