Wanawake wafanyakazi wa NBC wawakumbuka wanawake wenzao wenye matatizo
Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Benki ya NBC wakibeba gunia la unga tayari kwenda kutoa msaada kwa wagonjwa wanawake waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo na kuwajali wanawake wenzao walio katika shida. Mmoja wa maofisa waandamizi wa Benki ya NBC, Sarah Laizer , akikabidhi jora la khanga kwa Msaidizi wa Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Kansa ya Ocean Road, Sr. Genoviva Mlawa (kushoto) pamoja na vitu vingine vilivyotolewa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
11 years ago
GPLMKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
5 years ago
MichuziSHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.
Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...
10 years ago
MichuziWafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Wanawake waoa wake wenzao Tanzania
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)
Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]
The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...
11 years ago
MichuziWafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Wanawake wengi wana matatizo ya njia ya mkojo