Wanawake wamjia juu DC wa Mvomero
Jumuiya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Mvomero, imelaani vikali kauli zilizotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Antony Mtaka kwa kuwafananisha wanawake na ‘kondomu’ ama tambara la deki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Mar
Chadema wamjia juu Nape
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kutaja hadharani majina ya mataifa, watu na vyama vya upinzani, anavyodai vimepewa fedha na mataifa ya kigeni ili vivuruge mchakato wa Katiba mpya.
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Madiwani Maswa wamjia juu mkurugenzi
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamemjia juu mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Hilda Lauwo, wakimtaka atoe maelezo ni kwa nini anashindwa kuwaalika waandishi wa habari hasa...
11 years ago
Habarileo23 Dec
Wazee wa Mandela wamjia juu Winnie
WAZEE wa ukoo wa kichifu wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, AbaThembu, wameelezea kukasirishwa na kauli ya mke wa zamani wa kiongozi huyo, Winnie, kumteua mwanawe wa kike, Makaziwe kuwa Mkuu wa familia.
11 years ago
Habarileo02 Aug
Madiwani walioswekwa mahabusu wamjia juu DC
MADIWANI wawili katika Halmashauri ya wilaya ya Singida, waliokuwa wamewekwa mahabusu kwa amri ya Mkuu wa Wilaya, Queen Mlozi wakituhumiwa kukwamisha ujenzi wa vyumba vya maabara, wamemtaka kiongozi huyo kuwaomba radhi kwa kitendo hicho.
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Wana CCM wamjia juu Nape
![Nape Nnauye](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Nape-Nnauye-300x201.jpg)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye
RODRICK MUSHI NA ELIYA MBONEA, MOSHI
MRATIBU wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa walioko Kanda ya Kaskazini, Noel Nnko, amesema kauli ya Katibu wa Halmshauri Kuu,Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, dhidi ya makundi yanayokwenda nyumbani kwa kiongozi huyo kumshawishi agombee urais ni ya udhalilishaji.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Nnko alisema kitendo cha Nape kusema wanaokwenda kwa...
10 years ago
Habarileo10 Jan
Segerea wamjia juu mbunge wao
SAKATA la kuzomewa kwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga wakati wa zoezi la kuapishwa kwa viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Ilala, limechukua sura mpya baada ya wakazi wa Segerea, kuchefuliwa na kauli ya Naibu Waziri huyo aliyedai kuwa waliomzomea ni wahuni.
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Masheikh Dar es Salaam wamjia juu Makonda
MASHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam wamelaani kauli zilizotolewa na Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Paul Makonda, ya kuwahusisha na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WIItuHl8V5U/XqBMAVj-J0I/AAAAAAALn1Y/DoZ7gXc8tY8Y0ygI40tnP3QkiBEWK_DLQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200422-WA0122.jpg)
WATOTO WAMJIA JUU BABA YAO MZAZI BAADA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAKE ILIYOKO ENEO LA KIJENGE JIJINI ARUSHA
Na Woinde Shizza ,ARUSHA
MGOGORO wa kugombea mali ikiwemo ardhi na majengo umeibuka katika familia ya Mzee Saimon Kamakia mara baada ya watoto wa mzee huyo kumtuhumu baba yao kutaka kuwapora ardhi ambayo waliachiwa urithi baada ya marehemu mama yao, kufariki dunia.
Kuibuka kwa mgogoro huo umeonekana umevuta hisia za wakazi wa eneo la Kijenge na ndani ya Jiji la Arusha na umesababisha kuvuruga amani ndani ya familia hiyo.
Baadhi ya watoto wa Mzee Kamakia akiwemo Nusin Kamakia walidai hatua ya...
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo