Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wa Mandela wamjia juu Winnie

Winnie MandelaWAZEE wa ukoo wa kichifu wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, AbaThembu, wameelezea kukasirishwa na kauli ya mke wa zamani wa kiongozi huyo, Winnie, kumteua mwanawe wa kike, Makaziwe kuwa Mkuu wa familia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Why Winnie Mandela has let down South Africans

There is something complicated, and then there is Winnie Madikizela-Mandela. While there is something of a historical revisionism happening in some quarters of our nation these days that brands Nelson Mandela’s second wife a revolutionary and heroic figure, it doesn’t take that much digging to remember the truly awful things she has been responsible for.

 

11 years ago

TheCitizen

Ex-wife Winnie left out of Mandela’s testament

>Winnie Madikizela-Mandela, who was married to Nelson Mandela for 38 years, has been left out of the late anti-apartheid icon’s will.

 

11 years ago

Mwananchi

Graca, Winnie Mandela ni mtu na ‘dada yake’

Winnie Madikizela-Mandela, (77) aliinama kumbusu Graca Machel (68), kabla ya kukaa katika kiti cha tatu kutoka kile alichokalia mwanamke huyo. Graca Machel alimwambia maneno machache ‘dada yake’ Winnie wakati akimbusu.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema wamjia juu Nape

John MnyikaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kutaja hadharani majina ya mataifa, watu na vyama vya upinzani, anavyodai vimepewa fedha na mataifa ya kigeni ili vivuruge mchakato wa Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake wamjia juu DC wa Mvomero

Jumuiya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Mvomero, imelaani vikali kauli zilizotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Antony Mtaka kwa kuwafananisha wanawake na ‘kondomu’ ama tambara la deki.

 

10 years ago

Mtanzania

Wana CCM wamjia juu Nape

Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye

RODRICK MUSHI NA ELIYA MBONEA, MOSHI

MRATIBU wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa walioko Kanda ya Kaskazini, Noel Nnko, amesema kauli ya Katibu wa Halmshauri Kuu,Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, dhidi ya makundi yanayokwenda nyumbani kwa kiongozi huyo kumshawishi agombee urais ni ya udhalilishaji.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Nnko alisema kitendo cha Nape kusema wanaokwenda kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani walioswekwa mahabusu wamjia juu DC

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Queen Mlozi MADIWANI wawili katika Halmashauri ya wilaya ya Singida, waliokuwa wamewekwa mahabusu kwa amri ya Mkuu wa Wilaya, Queen Mlozi wakituhumiwa kukwamisha ujenzi wa vyumba vya maabara, wamemtaka kiongozi huyo kuwaomba radhi kwa kitendo hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Segerea wamjia juu mbunge wao

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro MahangaSAKATA la kuzomewa kwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga wakati wa zoezi la kuapishwa kwa viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Ilala, limechukua sura mpya baada ya wakazi wa Segerea, kuchefuliwa na kauli ya Naibu Waziri huyo aliyedai kuwa waliomzomea ni wahuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Maswa wamjia juu mkurugenzi

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamemjia juu mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Hilda Lauwo, wakimtaka atoe maelezo ni kwa nini anashindwa kuwaalika waandishi wa habari hasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani