Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wanateseka sana duniani - Spika Anne Makinda


Picha: Joseph MsamiSpika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema wanawake bado wanateseka takribani kote duniani, wengine wakiambulia vipigo na kadhia mbalimbali.Kandoni mwa mkutano wa Nne wa maspika wa mabunge duniani jijini New York spika Makinda amemueleza Joseph Msami wa idhaa hii, spika huyo wa kwanza mwanamke nchini Tanzania anasema lazima wanaume na jamii kwa ujumla wamkomboe mwanamke. Kwanza anaanza kueleza maudhui ya mkutano.KUSIKILIZA BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanawake wabunge Tanzania ni wachapakazi: Spika Anne Makinda


 Joseph Msami katika mahojiano na spika Anne MakindaWakati kikao cha maandalizi ya mkutano wa maspika wa bunge kikimalizika mjini New York, spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini humo wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii.Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa spika Makinda ambaye kwa sasa ni rais wa bunge la nchi za kusini mwa Afrika SADC...

 

5 years ago

CCM Blog

SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA AWATAKA WANAWAKE KUACHA UOGA


  Spika msaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amewataka wanawake nchini kuacha uoga katika wakati wa mapambano ya kutafuta fursa mbalimbali za kielimu, uchumi na siasa vinginevyo masuala ya usawa wa kijinsia itabaki kuwa ndoto.
Makinda amesema hayo jijini DODOMA katika Kongamano la uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambalo pamoja na mambo mengine limejadili utekelezaji wa maazimio ya ulingo wa Beijing yaliyowekwa miaka 25 iliyopita.

  Amesema wanawake...

 

10 years ago

Mwananchi

Anne Semamba Makinda Spika wa Bunge

Anne Semamba Makinda alizaliwa Julai 26,1949 mkoani Njombe, zamani sehemu ya Iringa (atafikisha miaka 66, Julai mwaka huu).

 

10 years ago

Michuzi

Spika Anne Makinda ziarani nchina China

 Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi Mtaalam wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake. Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya  Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo hufanywa na kampuni hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi ya upinzani yamshukia Spika Anne Makinda

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema kauli ya kuudhi iliyotolewa bungeni juzi jioni na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Frederick Werema imekuzwa na kuyumba kwa Kiti cha Spika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwigulu Nchemba amwonya Spika Anne Makinda

>Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amemwonya Spika wa Bunge, Anne Makinda  kuacha kutumia vibaya fedha za Serikali kwa kuwapa posho wabunge kwa ajili ya kwenda kwenye michezo nje ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

SPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA ZIARANI NCHINA CHINA


 Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi  Mtaalam wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake. Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya  Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo hufanywa na kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.SPIKA ANNE MAKINDA ASHIRIKI MKUTANO WA IPU UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia wa Maspika wa Mabunge, jana jumatatu, imeanza mkutano wake wa pili na wa siku mbili unaofanyika hapa Umoja wa Mataifa.  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ( Mb) ni miongoni mwa washiriki wa Kamati hiyo ya Maandalizi ukiwahusisha maspika kadhaa kutoka mabunge mbalimbali duniani.Katika mkutano huo wa siku mbili ambao umeandaliwa na Inter-Parliamentary Union ( IPU),...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE: SPIKA ANNE MAKINDA ASHIRIKI MKUTANO WA IPU UMOJA WA MATAIFA

.Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda ( Mb) akifuatilia majadiliano yaMkutano wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Dunia wa Maspika wa Mabunge, Mkutano huu wa siku mbili unafanyika hapa Umoja wa Mataifa.Mhe. Spika akibadilisha mawazo na viongozi wa IPUMhe. Spika akisalimiana na Spika wa Bunge la IndiaMhe, Spika Anne Makinda akisalimia kwa furaha na Spika wa Bunge la Uruguay
Na Mwandishi Maalum, New York

Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani