Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE WANAVYO-SHAMBULIWA NA U.T.I - 2

Leo tunaendelea kueleza dalili za UTI na tiba yake pia tutatoa ushauri.
DALILI
Unaweza kugundua kuwa una UTI kwa kuona dalili zifuatazo. Kujisikia maumivu au mkojo unachoma wakati wa kukojoa, kujisikia kukojoakojoa mara kwa mara na ukienda haja ndogo mkojo hautoki au unatoka kidogo sana. Dalili nyingine ni mkojo kuwa na rangi ya mawingu au mweusi na kuwa unatoa harufu mbaya, kujisikia maumivu chini ya kitovu au maumivu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Uwanja wa ndege wa shambuliwa



KABUL, Afghanistan
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko katika uwanja wa ndege wa kimataifa uliopo mjini Kabul.Mashuhuda wa tukio hilo walisema mtu mmoja alijitoa mhanga kwa kujilipua ambapo aliwalenga wanajeshi wa kimataifa nje ya lango kuu la uwanja huo.
Lango hilo hutumiwa na vikosi vya kijeshi vya kigeni, ambapo bado haijabainika endapo walinusurika na shambulio hilo.
Msemaji wa polisi alisema, shambulio hilo lilifanyika karibu na ofisi za safari...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ccm wawewe seka ,kila wanavyo fanya ziro

Chanzo Julius S.Mtatiro Kama alivyoeleza KUHUSU MKUTANO WA UKAWA JANGWANI, Kuna barua inazunguka mitandaoni inadaiwa kuwa ni ya Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala akidai kuzuia UKAWA kuzindulia kampeni zake uwanja wa Jangwani kwa sababu kuna shughuli […]

The post Ccm wawewe seka ,kila wanavyo fanya ziro appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AONGOZA MAMIA YA WANAWAKE KONGAMANO LA WANAWAKE 'SHINYANGA WOMEN'S DAY OUT'

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko akizungumza kwenye Kongamano la wanawake "Shinyanga Women's Day Out" lililoandaliwa na kikundi cha wanawake na mabadiliko Women for Change kutoka Shinyanga mjini leo Jumamosi Machi 7,2020. Picha zote na Marco Maduhu - Malunde 1 blog
Waandaaji wa Kongamano la Shinyanga Women's Day Out wakiwa ukumbini.Wanawake wakiwa kwenye Kongamano la Shinyanga Women's Day Out.
Meza Kuu 'VIP' wakiwa kwenye Kongamano la Shinyanga Women's Day Out.Awali Mkuu wa wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
 Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya wanawake Duniani.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika.

Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine duniani kote katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UWEZESHAJi WANAWAKE TEKELEZA WAKATI NI SASA"
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu,...

 

11 years ago

Michuzi

Wanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine kote duniani katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke, jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia (Mb.). Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA" Wanawake wa Wizara ya Mambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani