Waonywa wasikimbilie kufanya kazi TASAF
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Alfred Myovella amewataka watendaji wa halmashauri kuacha kukimbilia kufanya kazi vitengo vya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (Tasaf) ambavyo vimekuwa vikitengewa fedha za kusaidia kaya maskini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV10 Jan
Awamu ya tatu TASAF, Madiwani Karagwe waonywa.
Na Mariam Emily,
Karagwe.
Madiwani mkoani Kagera wametakiwa kutotumia vibaya nafasi zao za uongozi katika mpango wa TASAF awamu ya tatu unaolenga kunusuru kaya Masikini kwa kuingiza kaya zisizostahili.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga wakati wa warsha ya kujenga uelewa wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga aliwataka Madiwani kuwa mstari wa mbele katika kuhimiza jamii zao kupokea mpango huo kwa mikono...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Wanasiasa waonywa kuingilia kazi za NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka viongozi wa vyama vya siasa na serikali kuitoingilia mchakato wa kusimamia na kuendesha uchaguzi, bali wawaache maofisa wa Tume hiyo kufanya kazi yao.
10 years ago
Habarileo14 Feb
Watumishi wasioripoti vituo vya kazi waonywa
WATUMISHI wa Serikali katika kada mbalimbali wilayani Kaliua Mkoa wa Tabora wanaokwepa kuripoti katika vituo vyao vipya vya kazi kwa visingizio mbalimbali, wametakiwa kuacha tabia hiyo mara moja, kwani kama mtumishi wa serikali unatakiwa kuwa tayari kutumika sehemu yoyote ile.
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker
Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;
“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.
Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.
Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yYruf1t-f4M/XmuNY3o2c4I/AAAAAAAC8bY/JihAvaiAr9QZVB6ePVHtXVwRY-vSsFllACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU†YAWA CHACHU YA MAENDELEO KWA MNUFAIKA WA TASAF MKOANI SINGIDA
James Mwanamyoto - Singida
Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), Bibi Edith Brayson Makala mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Manispaa ya Singida, Mtaa wa Sokoine, amesimamia vema Kauli Mbiu ya HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambayo imemuwezesha kuinua uchumi wa familia yake kupitia ruzuku ya TASAF.
Akitoa ushuhuda jana, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kamati hiyo...
10 years ago
MichuziMfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Vijana tujitume kufanya kazi
KATIKA jamii ya Kitanzania kijana ana nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa taifa. Kijana ni nguvu kazi kubwa inayotegemewa katika taifa hili, hivyo wanapaswa wajitambue. Kila siku tukisema tusubiri miujiza...