WAPIGANA HADHARANI KISA SIMU
Vijana wawili wakipigana hadharani maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar kisa kikidaiwa ni simu ya mkononi. KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa vijana wawili wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni simu ya mkononi. Vijana hao walikuwa wakipigana maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar ambapo walijaza watu ambapo ilidaiwa kwamba mmojawapo ni fundi wa bajaji ambaye aliachiwa simu rehani na kumpa huyo kijana shilingi elfu mbili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRmyjcmEKk3WJ*AWcvrhsV8jPQp3YfPAVkr*J3ogAEab3vOn3AY-SN9gGxj1kfr8CDmNlkdigBaLWH1PgFdcqfs1/boda.jpg)
BODABODA ANUSA KIFO KISA, KUKWAPUA SIMU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZe6ADBWzMBhQDgaeCM4p80akkzHUzhk0eN7O0uewxhqGy5G6o5RajPaVCI8iluuij6xVHYs6JwoOc7Zvp-gXvK3/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA AUAWE KISA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Yanga wapigana ‘mikwara’
BARAZA la Wazee wa Klabu ya Yanga, limewataka wanachama wanaousakama uongozi kuacha mara moja, kwani uamuzi ulioamuliwa na wanachama kwenye mkutano mkuuu wa mabadiliko ya katiba ni halali. Katika mkutano...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Wakulima, wafugaji wapigana Same
KUMEZUKA mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi.
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Wafuasi wa Museveni na Mbabazi wapigana
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Magufuli, Lowassa wapigana vikumbo
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pamoja na mwenzake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, wamepigana vikumbo mahakamani huku kila mmoja akisaka kiapo cha mahakama kuthibitisha rasmi kuwania nafasi hiyo.
Magufuli na Lowassa kwa sasa wamekuwa mahasimu wa kisiasa tangu waziri mkuu huyo wa zamani alipotangaza kuihama CCM baada ya mchakato wa urais uliofanyika mjini Dodoma Julai...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DLo0tVWR9KfziR4zNADXEGPZ*bozRWowORqB1CEEGrx*pfzWuvvqSDZmicIZc9IyM01nn5zjGbddbYV9R*HVV7V*b6DyJotu/makocha.jpg?width=650)
Makocha 35 wapigana vikumbo Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5-CmqZWnA*qZQFSDRi9400*5m-JKyUfPT0jsEa0XxO0RjrGSGAa6kLY5O862HFUjOePjK3LOx4o9GU9UNBsQKS/stevenyerere.jpg?width=650)
NYERERE, DK. CHENI WAPIGANA VIKUMBO
10 years ago
Habarileo19 Dec
Wabunge wapigana ndani ya Bunge
WABUNGE wa Bunge la Kenya, jana walizua tafrani baada ya kutofautiana katika mjadala wa Muswada wa Usalama, kiasi cha baadhi yao kupigana na kusababisha shughuli za Bunge kuahirishwa kwa muda.