Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARATIBU MAAFA SHINYANGA WAJIFUNZA KWA VITENDO TATHMINI YA HALI YA CHAKULA

 Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Harrison Chinyuka, akifafanua juu ya Umuhimu wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe  nchini wakati Wataalam na waratibu maafa mkoani Shinyanga walipokuwa wakijifunza uendeshaji wa tathmini hiyo katika kijiji cha Uzogore mkoani humo Wataalam na waratibu maafa mkoani Shinyanga wakijifunza kwa vitendo uendeshaji wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe  nchini  katika kijiji cha Uzogore mkoani Shinyanga, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Oktoba, 2014. Mtaalam wa Usalama wa chakula kutoka Wizara ya kilimo, chakula na Ushirika, Bi. Tatu Kayumbu akiihoji moja ya kaya kijijini Mwamanyili,Wilayani Busega, Simiyu wakati wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu kijijini hapo, ...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA

 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma,  tarehe 12 Septemba, 2015. Mjumbe wa Kamati ya Maafa wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: KAMATI ZA MAAFA ZIUNGANE NA WARATIBU WA KUKABILIANA NA CORONA




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na ugonjwa wa Corona, ambayo yeye ni Mwenyekiti wake, katika kikao kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Machi 25, 2020. (Picha na OIfisi ya Waziri Mkuu).

******************************


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza kamati za Maafa katika ngazi za mikoa na wilaya ziungane na waratibu wa kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona...

 

11 years ago

Mwananchi

Maafa Moro washindwa kukamilisha tathmini

Kamati ya Maafa Mkoa wa Morogoro inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya Kilosa, Elias Tarimo imeshindwa kutoa takwimu za waathirika wa mafuriko ndani ya siku moja kama ilivyoagizwa na Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa.…

 

10 years ago

Michuzi

MHE. PINDA ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA SHINYANGA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mzee  Donald Lubunda ambaye  amepoteza watoto wane katika maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha  katika  eneo la Mwakata wilayani Kahama Machi 3 usiku. Mheshimiwa Pinda alikwenda kuwapa pole waathirka leo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa pole wanafamilia wa MzeeZakaria  Limbe ambao wamepoteza wototo wane katika mafa ya mvua kubwa yenye upepo na  mawe iliyonyesha katika eneo la Mwakata Machi  3 usiku. Alikwenda katika maeneo yaliyoathirika...

 

10 years ago

GPL

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani