Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAREMBO CHINA WASHINDANA KUTUPIA PICHA MTANDAONI WAKIONYESHA NYWELE ZAO ZA MAKWAPANI

KATIKA hali ya kushangaza mastaa mbalimbali na warembo  nchini China wameamua kutupia picha zao mitandaoni wakionyesha nywele zao za makwapani katika kushiriki shindano la picha za kwapani kwa wanawake. Mwanzilishi wa shindano hilo, Xiao Yue anasema uzuri wa mwanamke si lazima asiwe na nywele kwapani na kuongeza kuwa shindano hilo halimaanishi kuwa wanawake wasinyoe nywele hizo ila nia yake ni kuondoa dhana potofu kuwa nywele...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JPM NI NOMA! UKIBEEP TU, WANAPIGA! DKT MPANGO ATINGA TRA SAMORA BAADA YA MWANANCHI KUTUPIA UJUMBE MTANDAONI

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Mpango (kushoto), akizungumza na walipa kodi hao kwenye tawi la TRA, barabara ya Samora jijini Dar es salam leo Desemba 8, 2015.  KUNA ule msemo wa watu wa mjini, "Uki-beep, napiga" na kweli leo hii Desemba 8, 2015 pale Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, barabara ya Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, mlipa kodi mmoja alitupia ujumbe kwenye mtandao wa kijamii akiomba wataalamu wa IT wa TRA, wafike haraka kwenye ofisi zao za TRA Barabara ya Samora kwani...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Mh!! Wema Ana Mimba?!!! Hebu Jionee Picha Hizi Zinazosambaa Mtandaoni!!!

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti  huku wote sura zao zikiwa hazionekani.

Moja kati ya akaunti  kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la  WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.

Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la Nywele bandia lashamiri China

Nywele za bandia zina soko kubwa wanunuzi hawawezi kugundua kuwa nywele hizo huchanganywa na manyoya ya Mbuzi

 

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine

MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara  na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.

Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha  baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Habari katika picha: Nywele za kusokota zinavyowavutia wanawake wengi

Maonyesho ya picha za mitindo ya nywele mjini London..

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA TANZANIA WAPATA PA KUUZIA KAZI ZAO MTANDAONI

Baada ya kuhaha kwa muda mrefu kutafuta jinsi ya kuuza kazi zao, mkombozi wa swala la kuibiwa jasho lao amekuja kwa njia ya MKITO, mtandao ambao unauza kazi za wasanii mtandaoni kirahisi kabisa. 
KWA WASANII Tafadhali wasiliana na Mkito kwa simu namba +255 767 769 921 au kwa barua pepe support@mkito.com kwa mawasiliano zaidi.
Angalia banner hapo juu ya BLOG kama hiyo pichani na BOFYA uende kwenye mtandao huo moja kwa moja. La, kama vipi acha tukusaidie - BOFYA HAPA 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani