Soko la Nywele bandia lashamiri China
Nywele za bandia zina soko kubwa wanunuzi hawawezi kugundua kuwa nywele hizo huchanganywa na manyoya ya Mbuzi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Nywele bandia si salama kwa wanawake wa Kinshasa, kulikoni?
Katika mji mkuu wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC) wanawake wamekua na hofu baada ya wizi wa nywele zao za bandia al maarufu wigi pamoja na za kushonelewa zinazofahamika kama weave kuibiwa.
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine
MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.
Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.
10 years ago
GPLWAREMBO CHINA WASHINDANA KUTUPIA PICHA MTANDAONI WAKIONYESHA NYWELE ZAO ZA MAKWAPANI
KATIKA hali ya kushangaza mastaa mbalimbali na warembo  nchini China wameamua kutupia picha zao mitandaoni wakionyesha nywele zao za makwapani katika kushiriki shindano la picha za kwapani kwa wanawake. Mwanzilishi wa shindano hilo, Xiao Yue anasema uzuri wa mwanamke si lazima asiwe na nywele kwapani na kuongeza kuwa shindano hilo halimaanishi kuwa wanawake wasinyoe nywele hizo ila nia yake ni kuondoa dhana potofu kuwa nywele...
10 years ago
Mwananchi18 Aug
KNCU yaanza kusaka soko Korea na China
Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeanza kujitanua kibiashara kwa kutafuta masoko mapya katika nchi za Korea na China.
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Bidhaa za China zinavyotamba kwenye soko la Tanzania
Wiki mbili zilizopita katika sehemu ya kwanza ya makala haya ya ‘Dar hadi China’ tuliona jinsi wakuu wa mataifa haya mahili wanavyoimarisha uhusiano na kuwakutanisha pamoja wafanyabiashara wa mataifa haya mawili. Tukaona pia umuhimu wa wafanyabiashara pande zote kuwa huru katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara wa mataifa haya mawili.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
China kuzuia kuporomoka kwa soko la hisa
Hisa zimeshuka tena China Jumanne wakati serikali ikijitahidi kukabiliana na hilo, huku bei za hisa zinaonekana kuporomoka.
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO
10 years ago
MichuziUONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania