WAREMBO DAR WALIVYONYONGWA
![](http://api.ning.com:80/files/06WphArD*MtIhyq73b6DzVnzWe-I0VFPonKsrHKD-y6QuNmuapTAIMFl6mI8-Ar4Ghj8WHDXcVISck0OF2nuGJAw1DVDPD*e/warembo.jpg?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging DUNIA hii basi tena! Ni tukio la kusisimua ukilisoma mwanzo hadi mwisho lakini ni la kikatili sana! Ni lile la ndugu wawili warembo, dada na mdogo wake kukutwa wamekufa kwa kunyongwa ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga mmoja wao huku muuaji akidaiwa alivaa taulo lenye weupe wa kufifia akitokomea zake. Nuru Tumwaga enzi za uhai wake. ENEO LA TUKIO Tukio hilo la kusikitisha lilitokea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYg7oNYOFxTgEIspNzu5IIKWMEEECioAvomfnplPxsdVrzpyLlns2AmZKhSa-lmx2CTYE6XZaIrouudkVTRpeG6K/talent.jpg?width=650)
WAREMBO DAR WATOA ZAWADI, WALA NA YATIMA DAR
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaowania taji la Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa ukumbi wa Dar West Park
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park
11 years ago
MichuziWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK
11 years ago
GPLWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-do5RdOAqn7M/VMJUGuqanSI/AAAAAAAApj0/J8KmcXwID6I/s72-c/DSC_0230.jpg)
WADAU KIBAO NDANI YA USIKU WA WAREMBO KATIKA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-do5RdOAqn7M/VMJUGuqanSI/AAAAAAAApj0/J8KmcXwID6I/s1600/DSC_0230.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XF3M-ojAt38/VMJUGggiKyI/AAAAAAAApj4/elH25MpnLhE/s1600/DSC_0244.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppDqWRZkjTGRLTVEKYCfnJXc37par8l604g9MPrKaykrtK*M7PoccrU3vI-Tr3-tSBqtLhze6bMCSpn3meE*OLrX/maluun11.jpg?width=650)
WAREMBO WACHAPWA BAKORA