Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba awataka JK, Dk Shein kuchukua hatua kunusuru Katiba

>Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa vyama vya siasa kukutana na kufikia makubaliano ili mchakato wa Katiba uendelee hatimaye kupatikana kwa Katiba Mpya kwa masilahi ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Torongey awataka Chalinze kuchukua hatua

ALIYEKUWA mgombea ubunge Chalinze kwenye uchaguzi mdogo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mathayo Torongey, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuacha kulalamika, badala yake wachukue hatua katika uchaguzi ujao....

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUNUSURU ZIWA BASSOTU KUJAA NA KUSABABISHA MAAFA KWA WAKAZI WA KARIBU NA ZIWA HILO

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia namna Ziwa Basotu wilayani Hanang mkoani Manyara lilivyofurika na kuziba barabara katika eneo hilo alipofanya ziara mkoani humo.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akipimwa joto la mwili alipowasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kwa ajili ya ziara wilayani Hanang kuangalia athari za kufurika kwa Ziwa Basotu na kuzingira makazi ya wanachi.

 

5 years ago

Michuzi

RC TANGA AWATAKA WANANCHI TANGA KUACHA HOFU,BADALA YAKE WAENDELEE KUCHUKUA HATUA YA KUJIKINGA NA CORONA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela akiwa katika moja ya vikao vyake vya mara kwa mara vinavohusiana na mapambano dhidi ya Corona, Pichani akiwaonesha Wajumbe Vazi Maalumu la Wataalamu wanaohudumia wagonjwa wa COVID-19 Mkoani Tanga.
Aidha amesema kuwa serikali imeendelea kujidhatiti na kufanya kazi kwa ushirikiano katika kipindi hiki pia kuhakikisha inawajali sana na kuwapa kipaumbele wataalamu wa Afya.

Zaidi amewaomba wana Tanga kuacha hofu kama anavyosisitiza Raisi wetu wa Dk.John Pombe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.

Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya virusi vya corona baada ya China.

 

9 years ago

Mwananchi

Bavicha watishia kuchukua hatua

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha haraka mahakamani watu wote waliohusika na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo vinginevyo watachukua hatua mkononi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa mataifa kuchukua hatua Yemen

Baraza la usalama la UN limesema kuwa liko tayari kuchukua hatua zaidi iwapo waasi wa Houthi hawatarudi katika mazungumzo

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua za kuchukua unapoibiwa simu yako

Kama una tabia ya kununua simu zilizotumika kutoka kwa watu au zile mpya barabarani na sio kwenye maduka, unashauriwa kuacha tabia hiyo mara moja kwa sababu inaweza kukuleta shida siku moja .

 

9 years ago

Mwananchi

Hatua za kuchukua kabla ya kuanzisha biashara mpya

Watu wengi wana shauku ya kuanzisha biashara mpya. Inawezekana una wazo kubwa na hata ukimwambia mtu mwingine atakuonyesha dole, ishara kwamba ni wazo zuri na linauza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani