WARSHA YA STADI ZA MAISHA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI YAFANYIKA JIJINI MWANZA
Kaimu katibu Tawala mkoa wa Mwanza Bw.Ndaro Kulinjirwa akiongea na Maafisa Vijana,Waratibu wa Ukimwi na Vijana (Hawapo Pichani) kutoka katika Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na Mwanza alipokuwa akizindua rasmi warsha kuhusu Stadi za Maisha kwa washiriki hao leo jijini Mwanza ikishirikisha wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo na Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania .Warsha iyo ya siku nne inafanyika katika hoteli ya Midland. Kushoto kwake ni Mratibu wa Vijana kutoka Tume ya Kudhibiti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWARSHA YA STADI ZA MAISHA NA AFYA YA UZAZI KWA WARATIBU WA UKIMWI YAFANYIKA LEO JIJINI MWANZA
Mratibu wa Ukimwi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bw,Musa Varisanga(Aliyevaa Miwani) akifurahia jambo na Mratibu wa...
10 years ago
MichuziWarsha ya Maafisa Vijana,waratibu wa ukimwi na wadau mbalimbali yafikia siku ya tatu jijini Mwanza
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ukI3Nx3WVno/VTEis58FJWI/AAAAAAAHRsA/sqZUrunUFEs/s72-c/1.jpg)
WARSHA YA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA CHINA YAFANYIKA JIJINI DAR LEO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ukI3Nx3WVno/VTEis58FJWI/AAAAAAAHRsA/sqZUrunUFEs/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q8Jyvlbv9bU/VTEizfXesPI/AAAAAAAHRsI/CuxmchbF_0Y/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Warsha ya kupunguza vifo na majeruhi wa ajali za Barabarani yafanyika jijini Dar
Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam.
Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania, akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo...
10 years ago
Michuzi21 Jul
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/169.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/355.jpg)
10 years ago
MichuziWARSHA YA WADAU KUHUSU HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/169.jpg)
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA
10 years ago
VijimamboOFISI YA RAIS YAFANYA WARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...