Warusi wapewa siku mbili dili la Samatta
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BAADA ya mshambuliaji Mbwana Samatta kuvuka mtihani wa kwanza wa kusaka ulaji ndani ya timu ya CSKA Moscow ya Urusi, sasa timu hiyo imepewa siku mbili kati ya leo au kesho ihakikishe inamalizia taratibu za kumsajili.
Samatta hivi sasa anaendelea na mazoezi ndani ya kikosi cha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Urusi, ambapo gazeti hili ndilo lilikuwa la kwanza kuripoti taarifa za mshambuliaji huyo kutimkia nchini Hispania kusaka ulaji CSKA na timu nyingine...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …
Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kutajwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Stori zilianza kama tetesi na baadae mmoja kati ya mitandao […]
The post Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gtLtaMzNl9s/VM_mgEz1iZI/AAAAAAACzOY/9KEkHZsBHZY/s72-c/pombe-may14-2013.jpg)
TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili
![](http://3.bp.blogspot.com/-gtLtaMzNl9s/VM_mgEz1iZI/AAAAAAACzOY/9KEkHZsBHZY/s640/pombe-may14-2013.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VQnTK6-sfUQ/VPmT10ZNUOI/AAAAAAAHIAk/_KWMU8eAz90/s72-c/magufuli(9).jpg)
TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili
![](http://3.bp.blogspot.com/-VQnTK6-sfUQ/VPmT10ZNUOI/AAAAAAAHIAk/_KWMU8eAz90/s1600/magufuli(9).jpg)
Dkt. Magufuli pia ameagiza aliyekuwa meneja wa TBA Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Ndossa kusimamishwa kazi mahali alipo ili arejee kujibu tuhuma na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.
Waziri huyo alitoa agizo hilo wakati akikagua jengo la mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Waliojigawia maeneo ya wazi wapewa siku 7
MBUNGE wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, ametoa siku saba kwa watu wote waliojipimia na kuweka nguzo katika maeneo ya wazi na mabondeni jimboni humo kuhakikisha wanaondoa nguzo zao....
5 years ago
Bongo514 Feb
Raia wa kigeni nchini wapewa siku 90
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoishi nchini pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa maduhui ya serikali.
Anna Makakala, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Akizungumza jijini Dar es Salaam Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala baada ya uzinduzi wa mfumo wa uhakiki kwa kutumia njia ya kielekroniki amesema mfumo huo ni rahisi na unatoa fursa kwa waajiri na wageni wote wenye vibali vya...
10 years ago
Habarileo22 May
Wasambaza umeme wa REA wapewa siku 7
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ametoa muda wa siku saba kwa makandarasi wote nchini wanaotekeleza Mradi wa kusambaza Umeme Vijijini kuhakikisha wanasimamisha nguzo walizorundika maeneo ya vijijini na bila kufanya hivyo watafutiwa vibali.
9 years ago
StarTV23 Dec
Wakazi wa mabondeni wapewa siku 14 kuhama
Serikali imesitisha kazi ya ubomoaji nyumba za wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni katika bonde la Mto Msimbazi jijini Dar Es Salaam kwa muda wa siku 14 ili kuwapatia nafasi ya kuondoka kwenye maeneo hayo kwa hiari.
Kazi hiyo ya kubomoa nyumba na vibanda vilivyojengwa kinyume cha sheria na maeneo oevu yasiyoruhusiwa kwa ajili ya makazi ya binadamu ilianza Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi na Mipangomiji namba 8 ya mwaka 2007 kifungu cha 30 imeleza kuwa hairuhusiwi wananchi...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Waliojenga vyanzo vya maji wapewa siku 21
MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesera ametoa siku 21 kwa watu wote waliojenga nyumba katika hifadhi au maeneo ya barabara na karibu na vyanzo vya maji, kubomoa kabla kazi hiyo haijafanywa na mamlaka zinazohusika.