WASAKATONGE COMEDY SHOW NDANI YA AZAM TV YASAKA WAKALI WA UCHEKESHAJI, USAHILI KUFANYIKA UWANJA WA TAIFA DAR!
![](http://api.ning.com:80/files/l4W8jVdh3X-0r5KJHgljLQyT35wPpLSs6m8MB0f*sfXmcZzrhCEv4jAgahbc4G0GtccP5PV1vxSYohgfpoJGspgp6rzjXirg/maxresdefault.jpg?width=650)
DUNIANI kote! watu hujipatia fedha nyingi na kujenga heshima kubwa ndani na nje ya nchi zao kupitia vipaji walivyojaaliwa na Mungu muumba. Watu kama Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Wayne Rooney, Yaya Toure, Didier Drogba na wengineo, wana utajiri mkubwa kupitia miguu yao iliyobarikiwa kutandaza soka. Hata Tanzania kuna wanasoka wengi wanaovuna mamilioni ya fedha kupitia vipaji vyao. Mbali na soka, wengine wana vipaji vikubwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYpfcBtgrI9auq*4NovcL7-LWX4tG1xmCTWxr8kNYUdqQQef9bq666xJvykTKsvUNuIgYZ0cWsRZCeTJDYdsMjoY/COMEDYAD.jpg?width=750)
10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXyDjTHfQYWxMr5ZwBK2pd00LoodPwAeWdSO5vPrzKpP51h3jQ9nDClAaLT9GYngzSmK9nRIWOEgPWJntAWK3bYK/3n.o.h3.jpg?width=650)
USIKU WA MATUMAINI 2014 KUFANYIKA NANENANE UWANJA WA TAIFA DAR
9 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINANDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UCHEKESHAJI KUFANYIKA OKTOBA 3 MWAKA HUU JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog17 Sep