Wasanii LUNDOO watajwa Tamasha la Pasaka

WASANII 87 mahiri wa muziki wa Injili wa hapa nchini na nje ya nchi wamependekezwa na wadau washiriki kwenye miaka 15 ya Tamasha la Pasaka mwaka huu. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa wadau wa muziki huo wameomba waandaaji wahakikishe wasanii hao wanakuwepo mwaka huu. “Kama mnavyofahamu Kampuni yangu ya Msama Promotion mwaka huu inafanya onesho kubwa la miaka 15 tangu tuanze Tamasha la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 Apr
KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tamasha la Pasaka lasifiwa
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka
TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Tamasha la Pasaka kuja kivingine
TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...
10 years ago
MichuziWatanzania walipania Tamasha la Pasaka
WAUMINI wa Kikristo waliopata fursa ya kushiriki semina ya neno la Mungu iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege iliyomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wamesema wanahamu kubwa na Tamasha la mwaka huu kwa kuwa litakuwa na vitu vya kipekee.
Wakizungumza leo katika viwanja hivyo, walisema kikubwa ambacho kinaonesha utofauti ni kutimiza miaka 15 tangu kuanza hivyo kuadhimisha miaka hiyo kutakuwa na mambo tofauti yatakayopatikana siku...