Washikiliwa na polisi baada ya kuporwa
JESHI la Polisi linawashikilia wafanyakazi wa Kiwanda cha Mtava kutokana na kudaiwa kula njama na kuhusika na uporaji wa sh milioni 5.9 uliotokea katika barabara ya Shaurimoyo na Nyerere jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
10 years ago
StarTV16 Apr
Watuhumiwa 57 washikiliwa Polisi Iringa.
Na Oliver Motto,
Iringa.
Watu 57 wanashikiliwa na Polisi mkoa wa Iringa wakituhumiwa kuhusika katika vurugu zilizotokana na kifo cha mwanafunzi Hamfrey Ng’amilo mwenye umri wa miaka 15 aliyefariki kwa kugongwa na gari katika barabara ya Iringa inayoelekea wilayani Kilolo mkoani humo.
Vurugu hizo zilizimwa na Polisi kwa kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi waliokuwa wamefunga barabara na kuchoma moto matairi ya magari.
Kufuatia vurugu hizi, polisi Iringa tayari imewatia...
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Wanafunzi 15 Njoss washikiliwa polisi
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...
10 years ago
Habarileo07 Apr
Sita washikiliwa na Polisi kwa kubaka
WATU sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.
9 years ago
StarTV29 Dec
Watu 18 washikiliwa na Polisi Morogoro  kwa Tuhuma Za Makosa Tofauti
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu 18 kwa makosa tofauti ambapo watu wanane wanashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na silaha mbili aina ya Shot Gun zikiwa na Risasi 12 na wengine wanane wakijihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya pamoja na wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia wakiwa katika harakati za kuelekea nchini ya Afrika Kusini.
Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kunatokana na jeshi la polisi mkoani humo kuendesha oparesheni maalum kwa kushilikiana na raia wema dhidi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UqXcLrhCRHE/Vmq90yy3DnI/AAAAAAAILpU/uJute1K2IsQ/s72-c/IMG_7727.jpg)
WATUHUMIWA 40 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI.
Kati ya hao, watuhumiwa 26 ni watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)na watumishi 03 kutoka Bandari kavu (ICD) YA AZAM wanatuhumiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wWAH3gYFm2c/XsKGu8za_lI/AAAAAAALqrM/kCU8IUyC_yEOn7GWEQWBrmm_N919v1RagCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_20200518-145946_1589803522124.jpg)
WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-wWAH3gYFm2c/XsKGu8za_lI/AAAAAAALqrM/kCU8IUyC_yEOn7GWEQWBrmm_N919v1RagCLcBGAsYHQ/s320/Screenshot_20200518-145946_1589803522124.jpg)
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia Waandishi wawili raia wa nchi jirani ya Kenya kwa kosa la kuingia nchini bila kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Clinton Isimbu( 22)kabila Mluya,mpiga picha wa Elimu Tv ya Kenya,mwingine ni Kaleria Shadrack(23)kabila mmeru ambaye pia ni mwandishi wa habari Elimu Tv ya nchini Kenya.
Kamanda Shana amesema watuhumiwa hao waliingia nchini kwa njia ya Panya,ambapo kwa Sasa wote...
10 years ago
StarTV04 Feb
Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuvunja kituo cha Polisi.
Na Jackson Monela,
Morogoro.
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wakazi watatu wa Mgeta wilayani Kilombero mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa kituo kidogo cha Polisi Mgeta na kuiba baadhi vya vielelezo vya jeshi hilo pamoja Bunduki aina ya SMG yenye risasi 30.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa Polisi Leonard Paul amewataja watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo kuwa ni pamoja na Ramadhan Shewele mwenye miaka 20, Khamis Ahmed miaka 45 na Ignas...