Watuhumiwa 57 washikiliwa Polisi Iringa.
Na Oliver Motto,
Iringa.
Watu 57 wanashikiliwa na Polisi mkoa wa Iringa wakituhumiwa kuhusika katika vurugu zilizotokana na kifo cha mwanafunzi Hamfrey Ng’amilo mwenye umri wa miaka 15 aliyefariki kwa kugongwa na gari katika barabara ya Iringa inayoelekea wilayani Kilolo mkoani humo.
Vurugu hizo zilizimwa na Polisi kwa kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi waliokuwa wamefunga barabara na kuchoma moto matairi ya magari.
Kufuatia vurugu hizi, polisi Iringa tayari imewatia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
WATUHUMIWA 40 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI.
Kati ya hao, watuhumiwa 26 ni watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)na watumishi 03 kutoka Bandari kavu (ICD) YA AZAM wanatuhumiwa...
11 years ago
Michuzi01 Jul
JESHI LA POLISI IRINGA WALAKAMATA WATUHUMIWA WA MWANAFUNZI ALIYECHOMWA MOTO, MWILI WAKE WAAGWA LEO

Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umeagwa leo na kusafirishwa kuelekea mkoani kwao kilimanjaro kwa mazishi.Wanafunzi wa chuo hicho na wananchi wa manispaa ya Iringa walioguswa na tukio hilo walijitokeza katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambako shughuli ya kuuga mwili huo ilifanyika.Jeshi la Polisi...
11 years ago
Mwananchi10 Oct
Wanafunzi 15 Njoss washikiliwa polisi
11 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Washikiliwa na polisi baada ya kuporwa
JESHI la Polisi linawashikilia wafanyakazi wa Kiwanda cha Mtava kutokana na kudaiwa kula njama na kuhusika na uporaji wa sh milioni 5.9 uliotokea katika barabara ya Shaurimoyo na Nyerere jijini...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...
10 years ago
Habarileo07 Apr
Sita washikiliwa na Polisi kwa kubaka
WATU sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI WAKUU POLISI KUWAHOJI WATUHUMIWA WALIOPO MAHABUSU ZA POLISI NCHINI

10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA