WASHIRIKI WA DANCE 100 WAPEWA SOMO NA BASATA
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiongea na vijana wanaoshiriki katika robofainali ya Dance 100 wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5. Washiriki wanaoshiriki katika robofainali ya Dance 100 wakiwa katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDANCE 100 WAPEWA SOMO NA BASATA
10 years ago
MichuziWASHIRIKI WA DANCE 100% WAADHIMISHA SIKU YA VIJANA VODACOM
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Washiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es...
10 years ago
MichuziWASHIRIKI WA DANCE 100%WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM
10 years ago
GPLWASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM
9 years ago
MichuziWD MABINGWA DANCE 100% 2015
Washindi wa pili lilikuwa ni kundi la Timu ya Shamba, wakati Best Boys Kaka Zao, walishika nafasi ya tatu, ikiwa ni baada ya...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
OUT wapewa somo la mapato
11 years ago
MichuziRobo fainali ya Dance 100% yanukia
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Musu fainali Dance 100 Septemba 13