Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WD MABINGWA DANCE 100% 2015

NA MWANDISHI WETU KUNDI la kudansi la WD lenye maskani yake Keko Machungwa, Dar es Salaam, limeibuka kuwa mabingwa wa mashindano ya Dance 100% baada ya kuwabwaga wenzao katika fainali zilizofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco, Oysterbay, jijini juzi na hivyo kuondoak na kitita cha Sh milioni tano kutoka kwa wadhamini wakuu, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Washindi wa pili lilikuwa ni kundi la Timu ya Shamba, wakati Best Boys Kaka Zao, walishika nafasi ya tatu, ikiwa ni baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MABINGWA WA DANCE 100%WAUNGANISHWA NA MTANDAO WA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi la”WAKALI SISI”la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia  katika fainali za shindano la Dance 100% hivi karibuni na kujishindia kitita cha  Tsh Milioni 5 na simu hizo zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom Tanzania  muda wa maongezi...

 

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Musu fainali Dance 100 Septemba 13

Safari ya vijana wenye vipaji vya kucheza staili mbalimbali za muziki nchini maarufu kama Dance 100, kuwania kitita cha Sh5 milioni, imefikia patamu baada ya kupatikana makundi 10 yatakayochuana hatua ya nusu fainali.

 

11 years ago

Michuzi

Robo fainali ya Dance 100% yanukia

Kikundi cha Wakali Dance kutoka Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Wakati wa shindano la kutafuta makundi 16 ya kuingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5. Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad wa Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao...

 

11 years ago

GPL

DANCE 100 WAPEWA SOMO NA BASATA‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiongea na vijana wanaoshiriki katika robofainali ya  Dance 100 wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
...

 

11 years ago

GPL

ROBO FAINALI YA DANCE 100% 2014 YANUKIA

Kikundi cha   Wakali Dance  kutoka  Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza  wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya  udhamini wa Vodacom Tanzania.Wakati wa shindano la kutafuta makundi 16 ya kuingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
...

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA DANCE 100 WAPEWA SOMO NA BASATA

 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiongea na vijana wanaoshiriki katika robofainali ya  Dance 100 wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5. Washiriki wanaoshiriki katika robofainali ya  Dance 100 wakiwa katika...

 

10 years ago

GPL

MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika  kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.
Meneja… ...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom, EATV wafagiliwa kuibua vipaji Dance 100%

Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na fainali ya shindano hilo litakalofanyika hivi karibuni. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi matano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani