Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasia kwa Mwali

Mwanangu nipe kalamu, niseme japo kiduchu, Nyekundu sipendi damu, rangi iliyo na uchu, Isimwagike haramu, dhambi yake mara dufu, Ole wetu wakileo, yakumbukeni maandiko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ufafanuzi wa Warioba ‘wasia’ kwa Bunge la Katiba

Tumesoma kwa umakini mkubwa taarifa ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inatoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo nyeti yaliyomo katika Rasimu ya Katiba ambayo itajadiliwa na Bunge la Katiba linalokutana mjini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuipatia nchi yetu Katiba Mpya.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

TUJIKUMBUSHE WASIA

Mwaka 1958 alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa Chama cha Taifa la Kongo (Movement National Congolais). Mwaka 1960 akawa Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kudai uhuru kutoka kwa wakoloni katili wa Kibelgiji.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kuandika, kutekeleza wasia

Uwanja wa Kambole leo unakupa fursa ya kusoma na kuelewa juu ya sheria za mirathi hasa kwenye kipengele cha wasia, watu wengi wanaweza kudhani wanajua juu ya wasia lakini si kweli.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkapa ampa wasia Rais Magufuli

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amempa wasia Rais Dk John Magufuli, akitaka Serikali yake ikae na wadau ili kuinua kiwango cha taaluma kinachotolewa nchini.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wasia wa Ndugu zetu wa (Uamsho) waloko Ndani .

Mwana Familia Kawaida kila week hupewa siku moja ya kuweza kuonana na mdogo wetu ambae yuko ndani kwa tuhuma za Kesi ya Ugaidi ( Uamsho) mara nyingi tukionana nae ilikua tunaweza kupata muda angalau wa takika […]

The post Wasia wa Ndugu zetu wa (Uamsho) waloko Ndani . appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Sikiliza wasia unaokuhusu wewe na yule katika jamii

>Ni wakati mwingine wa Watanzania mijini na vijijini kuona au kusikiliza mipasho, vijembe, dhihaka na hata kejeli na hotuba zilizojaa maneno ambayo wakati mwingine unajiuliza kama kweli yanatoka kwa watu wazima au la.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani