Wasichana wafanyiwa ukatili Sudan Kusini
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa Wanajeshi wa Sudan Kusini waliwabaka na kisha kuwachoma moto wasichana wakiwa hai majumbani mwao wakati wa operasheni mpya ya kikatili iliyofanywa hivi karibuni.

Wachunguzi wa haki za binaadamu kutoka Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini – UNMISS, wameonya kuhusu kufanyika “matukio mengi ya ukiukaji wa haki za binaadamu” katika ripoti yao iliyowashirikisha waathiriwa 115, na mashuhuda kutoka jimbo la kaskazini...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Sep
Watoto milioni 120 wafanyiwa ukatili duniani
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Mawaziri wafanyiwa mabadiliko Sudan
11 years ago
Dewji Blog03 May
Wasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya ukatili wa kijinsia majumbani
Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa kingono pia. Wasichana hawa wanategemewa kwenda kuwafundisha wasichana wenzao wa mitaani, kila mmoja amepewa lengo la kufikia wasichana 50.
Baadhi ya wasichana 30 wakiwa makini kufuatilia mafunzo waliokuwa wakipatiwa na mkufunzi wao (hayupo pichani), hili ni kundi la kwanza kwa wasichana...
10 years ago
Vijimambo
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
10 years ago
Michuzi
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

10 years ago
GPL
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mzozo wa Sudan kusini
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Je Sudan Kusini imeporomoka?
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Maslahi ya UG, Sudan Kusini