Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana wengi wadogo wanafanya ngono

WATOTO wa kike nchini wametajwa kujihusisha katika mapenzi katika umri mdogo kuliko wa kiume. Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete alisema takwimu zinaonesha kwamba asilimia 13 ya wasichana, wanaanza kufanya mapenzi wakiwa na umri wa chini ya miaka 15 wakati kwa upande wa wavulana ni asilimia saba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je,wanaume huvutiwa na wasichana wadogo?

Idadi kubwa ya wanaume huwapenda wasichana walio na umri wa miaka ya 20

 

10 years ago

Habarileo

Wasichana wauza ngono Sh.2,000/-

NGUVUKAZI ya vijana na wanawake katika wilaya ya Mwanga, ipo mbioni kupotea kufuatia kuibuka kwa vijana na wasichana, wanaouza ngono katika vilabu vya pombe kwa wastani wa Sh 2,000 hadi 3,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini watendaji wa mitaa hawazuii video za ngono kwa watoto wadogo?

NILIWAHI kuandika makala kama hii takriban miaka mitatu iliyopita, lakini kutokana na kile kinachoendelea kutokea katika baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam, lililojaa uchafu wa kila aina...

 

9 years ago

Bongo5

Wasichana wengi wanamtamani mpenzi wangu — Linah

Linah anaamini kuwa wasichana wengi wanamtamani mpenzi wake, Williams Bugeme aka Boss Mutoto. Linah ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anachojali yeye ni kuona mambo yake na mpenzi wake huyo kwenda sawa. “Kikubwa ni changamoto ambazo nakutana nazo, kwahiyo mimi namjali mwanaume wangu kwa sababu ana mwonekano mzuri na ni mwanaume kila mwanamke anatamani kuwa naye,” […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake

 Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua mdahalo huo na mafunzo juu ya kujenga hoja ya upatikanaji wa chakula na haki ya chakula, kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye rasilimali za ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW.   Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na mkulima mwanamke...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA

"Niliamini kuwa itatuchukuwa muda mrefu kusafiri kuweza kujenga na kutengeneza kitu ambacho kitatambulika kitaifa kitakuwa na heshima inayostahili na kitatoa mchango unaostahili na kitashawishi wachimbaji wengine kuona kwamba hii ni Fursa ambayo hakuna yeyote yule anayeweza kuiacha ipite pembeni. Sasa wacha niwapongeze NSSF kwa kuwa wajanja kati ya mifuko mingine yote ya jamii na kuamua kuliangalia kundi hili ambalo nguvu yake ya baadaye italiongoza taifa kuwa na matajiri wake wa ndani...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo

PG4A5940

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw.  Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa  wachimbaji madini wadogowadogo  waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYAO NCHINI

 Meneja Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Emma Oriyo  (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel Fursa yawafikia wajasiliamali wadogo wadogo Dodoma

Vijana nchini wametakiwa kuzitumia fursa zilizopo kupitia mpango wa airtel fursa ulioanzishwa na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel wenye lengo la kuwawezesha wajasiriamali kujikwamua kiuchumi na hatimaye kufikia malengo yao kimaendeleo.  Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki katika semina ya wajasiliamali wadogowadogo iliyoandaliwa na Airtel mkoani Dodoma kupitia mradi wake wa Airtel Fursa ambapo mwezeshaji wa semina hiyo alikuwa Dokta Robert Mashenene ambae ni mtaalam wa maswala ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani